Hii Ndiyo CHADEMA 1992 - 2013

Hii Ndiyo CHADEMA 1992 - 2013

Swala hili linathibitishwa na idadi ya viti vya udiwani na Ubunge ambavyo chama hiki kimekuwa kikivipata katika kila uchaguzi mkuu, tangu 1995. Leo tuangalie tu takwimu fupi za udiwani na ubunge kwa Chama hiki.

[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD="align: center"]Mwaka
[/TD]
[TD="align: center"]Madiwani
[/TD]
[TD="align: center"]Wabunge
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]1995
[/TD]
[TD="align: center"]42
[/TD]
[TD="align: center"]4
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2000
[/TD]
[TD="align: center"]75
[/TD]
[TD="align: center"]5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2005
[/TD]
[TD="align: center"]103
[/TD]
[TD="align: center"]11
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
[TD="align: center"]467
[/TD]
[TD="align: center"]49
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa mantiki hiyo, chadema kimekuwa kikikubalika zaidi kila miaka isogeapo. Wale wenye ndoto kuwa kitakufa, subirini kama hamtakiona kikiingia ikulu na nyie kubaki mnabung'aabung'aa tu.

Kwa wale mpendao grafu, takwimu hizi zinaweza kuonekana kama ifuatavyo. Chadema songeni mbele, hadi mfanikiwe kulikomboa taifa hili. Matumaini ya Watanzania wengi, hasa nguvu ya taifa (vijana), yako mikononi mwenu. Imarisheni umoja, mshikamano, maelewano na mapambano. Hatimaye mtalifikisha taifa letu pale ambapo CCM wameshindwa kwa zaidi ya miaka 50 sasa (nusu karne).

View attachment 97198
MUNGU Ibariki Tanzania,MUNGU Ibariki CHADEMA
 
Punguzeni uchaga chamani

Wanawake kama ninyi ni janga la kitaifa, na ni hatari kwa ustawi wa nchi. Wananawake wakikosa busara kama wewe, tunaanza kupata wasiwasi kwamba tutakuwa na taifa la watu punguani miaka ijayo... Mungu angekutia tu ugumba maana uzao wako unaweza ukarithi fikra zako na nchi ikaingia kwenye vita vikali vya ukabila na udini
 
Msijidanganye cdm hz takwimu mnapaswa kuzitafakari kwa kina kwani ingawa chama kinaungwa mkono na watanzania wengi lkn chama kama chama bd hakija kuwa, nasema hvy kwa nn? Lazima mlinganishe toka mwaka 1992-2013 ki uchumi chama kikowapi kimepiga hatua gani , idadi ya wanachama halali na waaminifu imeongezeka kiasi gani! Uwezo wa kutengeneza fursa za kiuchumi ki chama imefikia wapi? Ofisi za kueleweks kuanzia Taifa mpaka ngazi ya chama zipo?uongozi endelevu kuanzia Taifa mpaka chini upo?. Nasema hvy maana natambuwa kuwa cdm hakijatekeleza hy ambayo ndi yanayoosha kama chama kimekuwa. Kilichopo sasa ni kuwa cdm kina washabiki tuu ambao ni dkk mojo tuu wanaweza kugeuka na kikiacha chama kama kikombe kilichomaliza kunywewa maji yaani tupu. Jiimalisheni ktk hayo vinginevyo ni sawa na kundi kama la waigizaji tuu ktk democrasia na Siasa hapa Tanzania.

Unasikitisha sana! Nyumba inaunguwa, mende wanatoka humo, panya wanakimbia humo, kuku wanahamia kwa jirani wewe bado uko humo? Makongoro Nyerere akiwa NCCR-Mageuzi mwaka 1995 viwanja vya Sokoine Mbeya!
 
sema mungu ibariki tanganyika.. wacha kututia tia na sisis kwenye hizo biashara zako...zanzibar tuko kivyetu.....

mko kivyenu mbona talaka hatujawapa bado.... eda mmemaliza lini???? nyie ni wake halali kwetu
 
mko kivyenu mbona talaka hatujawapa bado.... eda mmemaliza lini???? nyie ni wake halali kwetu
sasa mke ndo anaendesha kila kitu... ninaona sisi ndo tunawaburuza.. tunalolitaka sisi ndo linalokua.. it means sisi ndo mabwana sio.. hata kwenye nyumba nmatoka nyinyi kwani hata ikulu au bunge la tanganyika hamna au nionyeshe liko wapi,,,,,,
 
Back
Top Bottom