Hii ndio Wasafi inayosifiwa?

Hii ndio Wasafi inayosifiwa?

albab

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
2,000
Reaction score
3,395
Baada ya sifa nyingi nikaamua kulipia wasafi ili nione nini kipya

Dah! Target yangu ilikua nianze na kipindi cha BIG SUNDAY LIVE.. nimesikitishwa sana kwa tv chanel inayosifiwa sana na vijana kuair kipindi tena cha live kwa zaidi ya dk 30 bila sauti.... Kwa kifupi HAMKO sirias na hamjamtendea haki kijana Young Killer alistahili zaidi ya kilichotokea.

By the way hongereni kwa settings nzuri ya kipindi chenu. MMEZINGUA
 
yeah kwa sauti engineers wamezingua any way watalifanyia kazi
 
Binafsi Wasafi napenda zile throwback session zao, sio redio wala TV kote wapo vizuri, vipindi vingine sina time navyo naona mauzauza tu
Kumbuka ww ni team isiyopenda show off madame😂😂😂
 
Binafsi Wasafi napenda zile throwback session zao, sio redio wala TV kote wapo vizuri, vipindi vingine sina time navyo naona mauzauza tu
da wewe kama mm napenda sana throw back music thats way nikiwa kwenye lounge session ya oldies music ikiisha nasepa home yale mambo ya inabana siyawezii
 
Binafsi Wasafi napenda zile throwback session zao, sio redio wala TV kote wapo vizuri, vipindi vingine sina time navyo naona mauzauza tu
Ratiba ya hivyo vipindi kwa Tv zipoje?
 
Binafsi Wasafi napenda zile throwback session zao, sio redio wala TV kote wapo vizuri, vipindi vingine sina time navyo naona mauzauza tu
Jibu tuhuma zako kwamba we uko side b
 
Hivi kuna watu bado mna ushamba wa teams? Yani niache kusikiliza/kuangalia vipindi nivipendavyo kwenye media za Wasafi kisa namkubali Kiba?
WTF
Achana nao Mama. Twende tukalale.

😴😴😴
 
Uvaaji wa lily Ommy marangi mengi unaniacha hoi sana kwakweli ni mmoja ya watangazaji wasio jua kuvaa ana hitaji ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom