Mchuzi na nyama vyote viliweee, ndoa raha jamaniii ššAiseeš
Nachagua kupiga miti, nikiwowa wenzako watakosa kupigwa na kukandamiziwa miti.Nipigeee na unioeee nataka vyotee
Hatari sana mkuu mwanaume mzima anatoka hadharani eti mkewe alipokuja kwake alikuwa anavaa kigwaya mke nae ana muanika mumewe jongoo halipandi mtungi jamii imeharibika sana...š©Mashoga kujivinjali na kujionesha waziwazi katika masherehe na shughuli za kutuzana, zamani mtu aliekuwa ushoga aliishi kwa usiri mkubwa sana yani unasikia juju kwa juu tu kuwa fulani ni shoga.
š©Aina ya mwanamke alie katika utupu au historia ya skendo chafu ndio inakuwa televised na glorified katika vyombo vya habari kupelekea hadi kupata offers za kutangaza. Zamani mwanamke alie na staha ndio aliokuwa kioo cha jamii.
š©Siku hizi kuachana ni bei rahisi sana, single mothers wamejazana mtaani, wanaume waliooa na kuacha zaidi ya mara tatu wamejaa mtaani, mahakamani ni kesi za kugawana mali, etc. Ebu angalia wazazi wako na wa rafiki yako hadi leo wako pamoja.
š©Sasa hivi heshima na ushujaa wa mtu ni vitu anavyomiliki na umashuhuri mitandaoni sasa na vijana wamekuwa wadhaifu kupelekea kuzibuliwa vyoo na kulelewa na wamama/wababa ili afikie maisha ya mtandaoni. Zamani umashuhuri wa mtu ilikuwa ni jitihada yake na staha yake haijalishi uwezo wake.
Badooo šššIla Ushawahi wahi kuolewa komwe?𤣠Au hii ndio itakuwa mara ya kwanza
Alafu huyo secretarybird amependa mazima maana sio kwa mbwembwe hizo aiseee mi cha kuongezea tuu nyie ni soulmate lazima muwe hv hv japo ugomvi ni part ya mahusianoUtake usitake lazima utaniwowa, la sivyo nakuvunja pumbuh na chululu.
Cc: Extrovert Poor Brain Mpaji Mungu Half american
Leo umekunywa supu gani mbona umeamka na busara hivii shem š¤©š¤©š¤©Alafu huyo secretarybird amependa mazima maana sio kwa mbwembwe hizo aiseee mi cha kuongezea tuu nyie ni soulmate lazima muwe hv hv japo ugomvi ni part ya mahusiano
Alafu unakuta watu wanacheka na kusifiaHatari sana mkuu mwanaume mzima anatoka hadharani eti mkewe alipokuja kwake alikuwa anavaa kigwaya mke nae ana muanika mumewe jongoo halipandi mtungi jamii imeharibika sana...
Wanaume tumebaki saba tu!Alafu unakuta watu wanacheka na kusifia
Zamani ujinga kama huu waliitwa kwenye kikao cha ukoo,alafu wanakutembezea mboko
Siku hizi eti ndio sifa mkuu
Yaani huyu mama ni mtamu haielezeki yaani!Alafu huyo secretarybird amependa mazima maana sio kwa mbwembwe hizo aiseee mi cha kuongezea tuu nyie ni soulmate lazima muwe hv hv japo ugomvi ni part ya mahusiano
š¤£š¤£
Ukipnda shehere za ukumbuki lazima ukutane naoMkuu xamani watu kama hawa walijifungia ndani na hata kama walimfanya ilikuwa kwa siri sana siku hizi imekuwa sifa sasa
Sisi hupelekeana mioto sana mkuu.Duh kumbe mnajuaana kweli sio k-jf jf š¤£š¤£
Msiba mzito..Mungu awaepushie mbali hili balaa kwa watoto wa kiumu waliomo watoke ambao bado wasiingie!