Gloves jeKwani huoni wamevaa kofia ngumu, buti na reflectors au unataka waweje?
Mmmh!Ndiyo standard gauge ya CCM hiyo, ambayo hata punda akipita anaimomonyoa haraka.
kofia ngumu na ndala sawa,when safety comes first.Kwani huoni wamevaa kofia ngumu, buti na reflectors au unataka waweje?
Mbona wengine wamevaa ndala mzee?Kwani huoni wamevaa kofia ngumu, buti na reflectors au unataka waweje?
Ukisema hivyo ndio unaharibu kabisa .hii reli imekufa kwenye mikono ya serikali hii hii ya ccm .leo kuifufua iwe sifaa !!!??? Imekunya barabarani ukirudi kuja kuondoa mavi yako .usifiweeAlafu ndio uwaambie wananchi sijui wakichague chadomo?
Umeeonaaa .tena inafufuliwa kimya kimya aina ataa bajeti .Hahaha kweli rafiki zangu wa Arusha na Moshi Magufuli na CCM yake wamewaweza.
Kwao wanajenga standard gauge ya umeme na nyie mnajengewa treni ya standard ya farasi ya mwaka 1800!..ccm na magu mungu anawaona mnachowafanyia watu wa North.
KweliMmmh!
Ndiyo standard gauge ya CCM hiyo, ambayo hata punda akipita anaimomonyoa haraka.
Aisee wewee umenivunja mbavuMkuu mbona unapenda kufananisha sana mambo kifupi kila nchi ina expansion jointi zake so tusipangiane expansion joint ziweje
Hamia somalia basi kama vipi acha kujishebedua kama sio mswahilisheria za usalama zinaruhusu kufanya kazi kwenye mazingira haya?