Hii ndio Tanzania ya 21st Century ya uchumi wa Viwanda na Teknolojia

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
250
Kazi ya maboresho ya reli ya kutoka korogwe - Mombo-Moshi-Arusha imeshafika stesheni ya Mombo, kazi zinazokamilishwa kwa awam ya 1 ni kumalizia bàadhi ya maeneo yaliyoachwa kutokana na reli au vifungashio kungolewa na kuibiwa

DQhu-S7XcAA-yKZ.jpg
DQhu-SyWsAEQhEg.jpg
DQhu-S8X0AANuVf.jpg
DQhu-TGWsAAwrbU.jpg
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,365
2,000
Hahaha kweli rafiki zangu wa Arusha na Moshi Magufuli na CCM yake wamewaweza.
Kwao wanajenga standard gauge ya umeme na nyie mnajengewa treni ya standard ya farasi ya mwaka 1800!..ccm na magu mungu anawaona mnachowafanyia watu wa North.
 

muchetz

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
921
1,000
I believe that you must be joking. Hivyo ndivyo wanavotengeneza reli leo karne ya 21!!!!
 

ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,593
2,000
Wasisahau kuweka "expansion joints", alafu wamekosa hata punda wa kuvutia hayo mataruma, kweli waafrica wametokana na nyani!!!!! Karne hii mnajenga reli utadhani watumwa wa mwaka 1800 huko
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom