Hii ndio Tanzania ya 21st Century ya uchumi wa Viwanda na Teknolojia

Ila aisee ni uzembe wa hali ya juu sana, kuachia reli ya kwenda kaskazini na tanga kuharibika to that extent..
 
Alafu ndio uwaambie wananchi sijui wakichague chadomo?
Ukisema hivyo ndio unaharibu kabisa .hii reli imekufa kwenye mikono ya serikali hii hii ya ccm .leo kuifufua iwe sifaa !!!??? Imekunya barabarani ukirudi kuja kuondoa mavi yako .usifiwee
 
Hahaha kweli rafiki zangu wa Arusha na Moshi Magufuli na CCM yake wamewaweza.
Kwao wanajenga standard gauge ya umeme na nyie mnajengewa treni ya standard ya farasi ya mwaka 1800!..ccm na magu mungu anawaona mnachowafanyia watu wa North.
Umeeonaaa .tena inafufuliwa kimya kimya aina ataa bajeti .
 
Ndiyo standard gauge ya CCM hiyo, ambayo hata punda akipita anaimomonyoa haraka.

Haaaa.. Hapa Umefanya vu-ibya maana kila jambo ni safari.. Kwa mhya anamjua nege anaitwa kaungu atanisaidia.. Ila safari ndo imeanz hivyo mdogo mdoga watafika salama na mambo yaakaa sawa kabisa.. Kwa wale wa vitabu wakumbuke Nehemia 4

1 Lakini ikawa, Sanbalati aliposikia ya kwamba tulikuwa tukiujenga ukuta, akaghadhibika, akaingiwa na uchungu sana, akawadhihaki Wayahudi.

2 Akanena mbele ya nduguze na mbele ya jeshi la Samaria, akisema, Wayahudi hawa wanyonge wanafanyaje? Je! Watajifanyizia boma? Watatoa dhabihu? Au watamaliza katika siku moja? Je! Watayafufua mawe katika chungu hizi za kifusi, nayo yameteketezwa kwa moto?

3 Basi Tobia, Mwamoni, alikuwa karibu naye, akasema, Hata hiki wanachokijenga, angepanda mbweha, angeubomoa ukuta wao wa mawe.

4 Sikia, Ee Mungu wetu; maana tunadharauliwa; ukawarudishie mashutumu yao juu ya vichwa vyao, ukawatoe watekwe katika nchi ya uhamisho;

5 wala usiusitiri uovu wao, wala isifutwe dhambi yao, mbele zako; kwa maana wamekukasirisha mbele ya hao wanaojenga.

6 Basi tukaujenga ukuta; nao ukuta wote ukaungamanishwa kiasi cha nusu ya kimo chake; maana watu walikuwa na moyo wa kufanya kazi.

Kwa hapo tafakari
 
I don't care how they are doing it, this is something to be proud of. Keep on doing this good work. Tukifufua reli hii ikafanya kazi, itakuwa ni kitu kizuri sana kwa mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Penye kukosoa tukosoe. Lakini mambo mazuri tusifie pia.
 
Wakiacha kazi mafao Yao wake wachukue aakitimiza miaka 50
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom