Hii ndio simu ghali zaidi duniani

Tuliambiwa hii ndio simu ya Ghali zaidi....

Cc:Chief Mkwawa
 
Kwa hii simu zimo jet 2 km si zaidi.
 

Hiyo ninayoitumia nilipungukiwa laki 9 kuipata simu kama hiyo unayotaka kutuaminisha ni ya gharama.
Acha kudanganya hadharani kama usivyofanya mapenzi hadharani
 
Mmmmmmh hyooo bei hapana...maana mtoto mmoja wa tajiri bongo apa kanunua range rover autobiography cjui ni mwaka juzi ambayo imenakishiwa kwa gold tupu lakn haijafika thamani hyoo,sembuse simu.?
 
Dunia hubadilika hii simu ni kama mtu aliye vaa mkufu wa gharama...article of ostentation.....
 
Achen kuleta argue bila fact..ya kawaida sn hiyo sim maana hata mim ninayo ila sipend tu mjue maana ni risk pia
 
Lazima kuna wateja wake jamani kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake na pia ndege huruka kwa mbawa zake.
Pesa ina ibilisi yake na ni watu wachache sana huipangia pesa kui control na hao watu hupewa majina lukuki kama bakhili nati na mengine mengi.Ila wengi wetu pesa hututawala na kutuambia nunua hiki na kile na hapo ndo msemo wa jeuri ya pesa hutumika.
 
yaani wakuu wanatoka povu kwa kubisha, ishu ni kweli kabisa, iyo simu ukinunua ni km umenunua vito vya dhamani tu
 
Dunia ndivyo ilivyo wakuu, kwani Mwanamuziki Jose Camilion hakununua Kiatu cha kidigital chenye gharama ya tshs 26 milion?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…