Hii ndio safu ya CCM mpya ya Rais Magufuli

Mambo ya watu kuwa assimilated CCM sio ya leo.
Ben Mkapa alimchukua Lamwai wa NCCR

JK akiwa na Makamba Yusuf
Wakamchukua kibajaji toka CUF
Dr. Kaborou toka CDM
Tambwe Hiz toka CUF
Dani Makanga toka UDP

inawezekana msimu huu watu wanaongezeka based on population increase na kitaa kuwa kigumu. Maana wana potential ya kupeperusha bendera ya kuwa na hakika ya account kusoma mwisho wa mwezi.

It hard to negotiate at point of weakness you know, when the wallet has few bucks and there is no certain to feed the family
 
Back
Top Bottom