Hii ndio safu ya CCM mpya ya Rais Magufuli

Hii ndio safu ya CCM mpya ya Rais Magufuli

Wadau mwanzoni nilikuwa sijamwelewa Mh Magufuli kuhusiana na mkakati wake wa kuimalisha na kuunda CCM mpya!.

Wafuatao hapa chini na wengine unao wafahamu ndio wanaounda CCM mpya ya Mh Magufuli, na wengi wao tumekuwa tukijua misimamo yao ya kisiasa na kiitikadi kabla ya kuingia katika timu hii ya CCM mpya.

1. Dr Bashiru
2. Polepole
3. Dr Slaa
4. Mwita Waitara
5. Dr Mashinji
6. Mtatiro
7. Kafulila
8. Machali,
9. Na wengine wengi waliounga mkono juhudi.

Kweli kwa sasa nimemuelewa Mh Magufuli, hii ni CCM mpya sio CCM ya Jakaya!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee umewasahau Lowassa na Sumaye!
 
1.Makonda

#Bagwell
Huyu mwisho wake utakuwa mbaya sana,hivi unakumbuka mbwembwe za Mwigulu wakati huo ni Naibu waziri wa fedha na Naibu karibu mkuu ccm bara anazunguka na Kina Shonza kwenye gari huku kafuga madevu anavaa na kofia ya kijani yenye nyota nyekundu? Hivi unakumbuka Makamba enzi ya Jk? hivi ulitegemea kinana kutoka kuitwa Comred hadi kuitwa mpumbavu? Namalizia kwa Nape Nnauye ulijujua kuna siku atafurushwa kazi na kutishiwa bastola mbele ya RPC na Harmorapa mchana kweupe? Kisa asiongee na wana habari. Sasa huyu kilaza wa Gwajima(fa fa fa fa) ambaye wamarekani wametusaidia kumaliza minong'ono kuwa anahusika na kuteka,kutesa na kuuwa unazani mwisho wake ni nini? Labda mhula wa baba yake ukiisha aende nae akaishi nae burigi.
 
Pamoja na kutupa bomu la kurusha kwa mkono kwenye viwanja vya Soweto pale Arusha kwenye uchaguzi wa marudio ya udiwani,bomu lililogarimu uhai wa watanzania wenzetu
Ahsante mkuu kwa kutukumbusha hili la bomu,kesi kama hizi maadam zinawagusa watanzania wa upande wa pili,faili lake peleka moja kwa moja kwenye kabati la COLD CASES,ila historia haitakuja kusahau kumbuka pia kuuliwa kwa mwandishi wa habari na polisi mchana kweupe pale mkoani Iringa,ipo siku ukweli na wahusika watajibia hili,huko kwa Madiba watu wameanza kujibu waliyayafanya miaka 30 iliyopita ya kutesa watu na kuwarusha maghorofani pale John Voster police station,pamoja na uzee wao wanashinda mahakamani kujibia tuhuma zao,hili nalo litakuja tokea hapa Tanzania ,always wakati ni ukuta.
 
Hivi Samson Mwigamba anakwama wapi mbona magufuli hamuoni huyu jamaa nadhai kiutendaji alikuwa mzuri kwani alikua Mwenyekiti chadema Arusha baadae akahamia Dar kuwa mhasibu wa chama mpaka pale walipoanza kukwaruzana na mama slaa na baadae alipohamia ACT alikuwa katibu mkuu mbonabhaonekani na wakati ana elimu nzuri na bado snasoma MBA finance UDOM
 
Wadau mwanzoni nilikuwa sijamwelewa Mh Magufuli kuhusiana na mkakati wake wa kuimalisha na kuunda CCM mpya!.

Wafuatao hapa chini na wengine unao wafahamu ndio wanaounda CCM mpya ya Mh Magufuli, na wengi wao tumekuwa tukijua misimamo yao ya kisiasa na kiitikadi kabla ya kuingia katika timu hii ya CCM mpya.

1. Dr Bashiru
2. Polepole
3. Dr Slaa
4. Mwita Waitara
5. Dr Mashinji
6. Mtatiro
7. Kafulila
8. Machali,
9. Na wengine wengi waliounga mkono juhudi.

Kweli kwa sasa nimemuelewa Mh Magufuli, hii ni CCM mpya sio CCM ya Jakaya!.

Sent using Jamii Forums mobile app
wafia chama midomo wazi kama wamefumaniwa - teh teh teh
 
10.Steve Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom