Hii ndio safu ya CCM mpya ya Rais Magufuli

DOMBWELA

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
757
842
Wadau mwanzoni nilikuwa sijamwelewa Mh Magufuli kuhusiana na mkakati wake wa kuimalisha na kuunda CCM mpya!.

Wafuatao hapa chini na wengine unao wafahamu ndio wanaounda CCM mpya ya Mh Magufuli, na wengi wao tumekuwa tukijua misimamo yao ya kisiasa na kiitikadi kabla ya kuingia katika timu hii ya CCM mpya.

1. Dr Bashiru
2. Polepole
3. Dr Slaa
4. Mwita Waitara
5. Dr Mashinji
6. Mtatiro
7. Kafulila
8. Machali,
9. Na wengine wengi waliounga mkono juhudi.

Kweli kwa sasa nimemuelewa Mh Magufuli, hii ni CCM mpya sio CCM ya Jakaya!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hapo Mwinyijuma aka Kingwendu Kingwendulile. Pia kwa Wasanii baada ya Komba kufariki, Kopa nk kuchuja sasa wanakuja Diamond, Shilole, Harmonize na Ebitoke! Patamu hapo! CCM ni burudani mtupu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom