Hii ndio sababu ChidBenz atabaki kuwa chuma

matumbo

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
7,225
3,944
Akiongea na tv fulani ya youtube Chidi alisema maneno haya machache, " muziki wa sasa umekuwa ni kitu cha hatari, ni either unakuwa Wasafi au unakuwa Wachafu. La sivyo utamalizwa".

Ni maneno machache sana lakini ndio summary nzima ya industry ya burudani ya Tanzania kwa sasa. Kuna watu wengi nimeona wanakomenti teja huyo kashajidunga. Lakini wameshindwa kuinasa falsafa yake.

Na mimi nasisitiza kama wewe ni msanii mchanga na una ndoto za kufika mbali ni either uwe wasafi au uwe wachafu. Hutaki basi usipoteze muda wako kwenye muziki fanya ishu nyingine, vile vile kwa wanaowekeza kwenye muziki falsafa ni hiyo hiyo kama wanaona mbali. Hawawezi wasipoteze pesa zao.

Ni hayo tu!
 
Na bahati mbaya ama nzuri Wachafu wanazidiwa kete na Wasafi ambao media nyingi zimegoma kuwapa airtime,but still ni talk of the town.....hii dhambi ya matabaka lawama zote ziwaendee clouds....
 
Daah huyu mchizi unaweza kumchukulia bange mtu ila kichwani zimo sana,he think critically
Jamaa kaaongea kitu cha ukweli kabisa ,tasnia yoyote ikikosa ushirikiano jua tasnia hiyo lazima itadrop tu.Mwisho wa siku anayejua anabaki kujua asiyejua hatojua na mwenye connection anabaki nazo na asiyekuwa nazo ndio basi tena,ukiiangalia Industry ya bongo wanaofanya vizuri ni wale wale.
 
Huyu mtu naona ana nishawahi na mimi kuyatumia hayo makitu anatema madini kumzidi Bashite
 
Jamaa kaaongea kitu cha ukweli kabisa ,tasnia yoyote ikikosa ushirikiano jua tasnia hiyo lazima itadrop tu.Mwisho wa siku anayejua anabaiki kujua asiyejua hatojua na mwenye connection anabaki nazo na asiyekuwa nazo ndio basi tena,ukiiangalia Industry ya bongo wanaofanya vizuri ni wale wale.
Kwa kweli kwa bongo fleva ya sasa hivi ilipofikia ni vita ya Western block Vs Eastern Block km falsafa ya Chid inavyosema either Wasafi or Wachafu if u r non of them u r doomed....why these blocks? the answer is simple kuna wale ambao wanaamini bila clouds huwezi kutoka na kuna wale wanaoamini without clouds unatoboa kupitia Wasafi hii ni hatari sana kwa katika kukuza vipaji maana yake ni kwamba walewale ndio wataendelea kutamba,damu mpya ambazo zinakosa koneksheni zitaendelea kudumaa huku tunatengeneza kizazi cha wasanii wenye kujipendekeza,wanafiki na wapenda majungu....eventually the industry inakufa kibudu kama bongo muvi.
 
Wasanii waoga na hawaliongelei hili,kisa wanaogopa watanyimwa airtime na show kwenye matamasha yao.
 
Na bahati mbaya ama nzuri Wachafu wanazidiwa kete na Wasafi ambao media nyingi zimegoma kuwapa airtime,but still ni talk of the town.....hii dhambi ya matabaka lawama zote ziwaendee clouds....

umeandika kishabiki na kwa kufuata mkumbo

ukiambiwa clouds wamefanya nini? urusha mateke kama unakufa
 
umeisoma kishabiki,kama hutojifikirisha huwezi kuelewa na kuona mambo kwa jicho lako la tatu

we mpuuzi clouds ni private firm, hawana hati miliki na maisha ya wanamuziki na watanzania, sio CCM ile au kanisa katoliki

wana feelings, maamuzi, machaguo, sio akina nyerere wale kuleta umoja wa kitaifa.

Acha kuwa inferior, wanawagawa vipi? nyie maandazi au senene? mnakubali vipi kugawanyika?

wewe mumeo yule mzaramo mbona hatujasema kwanini haukuolewa na mchaga wakati wewe ni mrombo? ni personal choices no one dictated you!

Clouds got nothing to do with this hawana funguo za maisha, hawana mahali tuliwapigia kura, wala hakuna record eti tulikubaliana watanzania kuwa waishi tunavyotaka waishi.Na hatuna mahali tuwalaumu wao kwenyw population ya dunia ya 7B

Ondoa inferiority complex,makundi ni normal in human life ndio maana tuna madhehebu ya kikristo, kiislamu n. ni kawaida mno, sana,ni nature ebo
 
Screenshot_20190328-080227.png
 
Na bahati mbaya ama nzuri Wachafu wanazidiwa kete na Wasafi ambao media nyingi zimegoma kuwapa airtime,but still ni talk of the town.....hii dhambi ya matabaka lawama zote ziwaendee clouds....
Muziki umekuwa biashara ya kibepari, kwa sasa kinachogombaniwa ni system. Kila kambi inataka iendeshe na itawale biashara ya muziki. Wasanii wengi hawajui wafanye nini sababu pande zote zina ugali.
 
Wasanii waoga na hawaliongelei hili,kisa wanaogopa watanyimwa airtime na show kwenye matamasha yao.
Msanii wa kawaida hawezi kuzungumza sababu haitomsaida kitu na ni risk kibiashara. Si unaona mtu kama Konki.
 
Back
Top Bottom