Hii ndio principles of Sequence and Series

Hii ndio principles of Sequence and Series

NTEGEYE Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
322
Reaction score
286
Tuliopita walau sekondari na kujaribu kuhudhuria vipindi vya Hesabu mtakumbuka Kanuni na Hesabu za "Sequence and Series "

Wakati tunajifunza hesabu, wale waliokuwa hawazipendi walikuwa wanatukatisha tamaa sana, waliibuka wakisema sasa hesabu hizo zina application gani kwenye Maisha?

Hao hao leo wanajionea wenyewe kuwa hesabu zina application baada ya kusikia mapato ya serikali kwa mwezi kupitia TRA ni Tril 1.1 (July) , Tril 1.2 (August) na 1.3 (September). Mfuatano wa Mapato hayo kwa namba umewakumbusha HESABU na Principle ya Sequence and Series. That is;

A1=1.1, d=0.1
A4=A1+3d

Where by A4=Octoba

A4=1.1+3(0.1)
A4=1.1+0.3=1.4

Octoba=Tzs Trilioni 1.4

Kwa maana nyingine, kwa sheria za sequence and series zinabashiri (zinabet) mapato ya Mwezi October kuwa Tril 1.4 Bila kusahau kuwa taarifa ya September yote ilikuwa tayari inafahamika kwa mtazamo wa Principles of "Sequence and Series",
Hapo ndipo ujue kuwa hakuna topic hata moja ya hesabu inakosa "application" katika Maisha ya kawaida.

Unaweza kuamua kuelewa au kujilazimisha kutoelewa.
 
Economic fluctuation inaizungumziaje hapa?

Hapa hatuassume kama tulivyozoea sawa mkuu
 
Soma equimarginal return na law of diminishing return utaelewa
 
Me Naipenda Math Pia Nashukuru Mungu Naiweza Lakini Hesabu Za Log Tunaziapply Wap Kwenye Maisha
 
Hv Mtoa Post Unatumia Data Zipi Kuleta Thread Maana Juz Tra Walitoa Mapato Ya Mwezi Baada Ya Zitto Kabwe Kusema Maneno Flan Uko Mtandaoni Baada Ya Kujibu Zito Akawakosoa Kwamba Data Wamepika Maana Waliweka Tarehe Za Mwezi Unaofata
 
Back
Top Bottom