Hii ndio misemo mikali kwa Kiswahili

Hii ndio misemo mikali kwa Kiswahili

1.Kusoma sana ni uwoga wa maisha
2.mjini hulali njaa ila utachelewa kula
3. Uoga wako ndo umaskini wako
4.heri kujikwaa kidole kuliko kujikwaa unlimited
5 akisoma atasumbua
mkuu, mi mzee wajukuu[emoji111] watoto Dazeni[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Hata uwe mbabe kiasi gani hauwezi omba bodaboda risiti.
Hauwezi ning'iniza miguu kwenye mkeka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom