Tabyonauna
Member
- Mar 6, 2017
- 5
- 2
NmeipendaUkipenda chipsi usiogope mimba
NmeipendaUkipenda chipsi usiogope mimba
Mkuuu nipo safarin kuelekea kolomije dua zako!Ukimuona chalii ya pale kolomije mwambie atuonyeshe vyetiyiki.
Huu usemi ndio unabamba kwa sasa
Hii imekaa vema.....ukimuona ngedere mjini basi ujue ana mwenyewe
Wazururaji..Vijana wa dar wengi ni wazurulaji...
hii sijaielewa, naona kufungwa kwa makufuli ndio kunaonyesha ni nzuri kwa kuwa ingeibwa..kama wanavyofanya kwa ma safe ya fedha na madini ya thamaniKama pombe ingekua nzuri,kaunta zisingefungwa na makufuli na magrill.