sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,281
- 7,953
Mnyama mnyamani cheti kwani anaomba kazi? Chura churani cheti si ishuUkimuona chalii ya pale kolomije mwambie atuonyeshe vyetiyiki.
Huu usemi ndio unabamba kwa sasa
Cheti cha nini vitani?Unataka kuongoza wakati huna vyeti
Hongera na wewe umecommentCheti cha nini vitani?
Kupata div 1 sio kazi, kazi kupata 0Kuna baadhi ya misemo ni mikali sana na ni migumuu kuielewa japo mingine ni rahisi sana kuielewa lakini unajikuta tuu automatically umeipenda! Mrisho mpoto,zembwela na baadhi ya wana hiphop hupenda sana kuitumia na humfanya mtu afikirie! Wale madereva wa Magari makubwa ya mizigo na dalala huwa na Hii misemo nafikiri wao ndio wanao ongoza
Leo naomba kushare nanyi baadhi ya misemo ...sema na ww kwako upi ni msemo mkali kwako
1.Hata Bibi naye alikuwa Binti
2.Ukimuona kuku kwa mganga ujue Rangi yake ndio imemponza
3.Hata Ukiogelea Binadamu watasema unawatimlia vumbi
4.Ukiona Manyoya Basi kaliwa
5.Mlango mkubwa lakini unalindwa kwa kufuli dogo
6.Kitendawili si Deni ukishindwa nipe mji
Endelea na wewe
Hahaaa nimependa hii utakula ulikopeleka mboga..Utakula ulikopeleka mboga
.Hata kwetu Wapo
.Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Utam wa kazi pesa
wazee wa zamani nadhani hapo kwenye nipe mji walikuwa na maana zaidi ya ile ambayo tumeizoea6.Kitendawili si Deni ukishindwa nipe mji
Mke atakuacha tufilisika ujue tabia ya mkeo
Sasa yuko wapi mwenye vyeti vyake aje aongoze yeye?ukiona mtu anaongoza mkoa wake kwa mbwembwe, ujue anatumia vyeti siyo vya kwake.
Bashite ni ngedere??,na mwenyewe ni Sizonje??ukimuona ngedere mjini basi ujue ana mwenyewe
Na ni mwizi pia wa vyetiUkiona Mtu anajiita Paulo Makonda ujue ni Daudi Bashite!
What do u expect?Unataka kuongoza wakati huna vyeti