Hii ndio misemo mikali kwa Kiswahili

Hii ndio misemo mikali kwa Kiswahili

1.Kusoma sana ni uwoga wa maisha
2.mjini hulali njaa ila utachelewa kula
3. Uoga wako ndo umaskini wako
4.heri kujikwaa kidole kuliko kujikwaa unlimited
5 akisoma atasumbua
Kama maisha magumu, achana nayo fanya issue zengine
 
7eb67ea0f9ca0c958e8104668f3f8dd1.jpg
Hahahahahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom