The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,403
- 103,829
Mjini gari,kama nyumba hata Mbuzi anayo.
Hapana umeelewa vingine,kufungwa kwa makufuli kaunta ina maanisha ukisha lewa waweza fanya chochote,ndio maana kaunta zikafungwa kwa magrill na kufuli ili kuepusha fujo au wizi baada ya kutumia Pombe....anyway dont take it serious coz ni joking tu.hii sijaielewa, naona kufungwa kwa makufuli ndio kunaonyesha ni nzuri kwa kuwa ingeibwa..kama wanavyofanya kwa ma safe ya fedha na madini ya thamani
Mcharuko, huyo hata kuolewa hawezekani, ukimsomba umekwishaaaaaaa!ukhuty.. we utakuwa wa uswazi..![]()
Ulijuaje kama mim ni wa huko ndugu yaani uswazi rah sanaukhuty.. we utakuwa wa uswazi..![]()
Hahaha umenifurahisha karibu kweny cham cha wakubwa nipo ndoani mwenzio hivyooo pole yakoMcharuko, huyo hata kuolewa hawezekani, ukimsomba umekwishaaaaaaa!
Ukimuona chalii ya pale kolomije mwambie atuonyeshe vyetiyiki.
Huu usemi ndio unabamba kwa sasa




Ohooooo!!!filisika ujue tabia ya mkeo
Ohooooo!!!Kujamba ni afya ukiharisha kapime