Hii ndio miradi ya maprofesa wetu Tanzania

Hii ndio miradi ya maprofesa wetu Tanzania

Mayele azizi chama morison wanalipwa gali kuliko wahadhiri na maprofesa wetu lipumba kwa kipato anazidiwa na mama ntilie,unataka wafanye biashara gani kama sio hizo hapo juu
 
1. Ng'ombe wawili wa maziwa
2. Bar
3. Logde
4. Mbogamboga nusu heka
5. Stationery (Vitini vinapatikana hapo tu na vitabu vyake)
6. Daladala
7. Shule (huyu amejitutumua sana ila kusimamia hawezi)
8. Tax
9. Kukodisha viti na matenti
10. Bucha kwa wale wa SUA

Ongezea
Tatizo ni lipi hapo!? Mbona mawaziribna viongozi wa serikali huiba na kumiliki utajiri mkubwa na kuwapa watoto wao nafasi za ukuu wa wilaya,u Ras,na ukurugenzi wa halmashauri!! Ubunge nk!!?? Hivi maprofesa wakifanya ujasiria Mali halali ni fedheha!!!!poor country
 
1. Ng'ombe wawili wa maziwa
2. Bar
3. Logde
4. Mbogamboga nusu heka
5. Stationery (Vitini vinapatikana hapo tu na vitabu vyake)
6. Daladala
7. Shule (huyu amejitutumua sana ila kusimamia hawezi)
8. Tax
9. Kukodisha viti na matenti
10. Bucha kwa wale wa SUA

Ongezea
Kuku wa mayai na nyama
Frame za kupangisha
 
Sisi maprofesa kwa sasa pesa zetu tunaweka kwenye akaunti fungani...
 
Tanzania kuwa msomi Tanzania Ni sawa na adhabu utasemwa kwa kila kitu ukikosa ajira, ukiwa nayo, ukichangia hoja (wenae msomi mzima)...jana tu mkutano wa wafanya biashara jamaa wanaacha kutoa hoja kilamala wewe una PHD sisi hatuna, wewe una PHD lakini ...haishii hapo Diamond katoboa anasemwa msomi, msikuma kanunua V8 hapo watasemwa wasomi.

Lakini wasomi wakiwasema hawa wasiosoma utasikia wanajifanya, wamesoma wangapi, usomi wako ndio.
Yaani usomi ni pesa Mkuu ukiwa umesoma labda Uwe na pesa ole wako usiwe na Pesa na umesoma Tz utasimangwa na ukoo mzima.....
 
Afrika kuitwa profesa ni aibu, bora uitwe doctor. Unaitwa profesa wakati huna ulichokingundua kwa utafiti wako angalau dunia inufaike na ugunduzi wako. Ndio maana wanakimbilia kwenye siasa kuficha aibu zao
 
1. Ng'ombe wawili wa maziwa
2. Bar
3. Logde
4. Mbogamboga nusu heka
5. Stationery (Vitini vinapatikana hapo tu na vitabu vyake)
6. Daladala
7. Shule (huyu amejitutumua sana ila kusimamia hawezi)
8. Tax
9. Kukodisha viti na matenti
10. Bucha kwa wale wa SUA

Ongezea
Sawa....

Tuweke sasa na miradi yako tuione

Ova
 
sheria za elimu yetu unaijua? Unataka nifanye nini wakati kuna vikwazo vingi? Shangaa unaitwa profesa lakini huna ulichokigundua au kukianzisha kwa manufaa ya umma

Kumbe Kuna vikwazo? Wao wamewezaje na wewe kwanini umeshindwa? Mtu Kawa professor kwa manufaa yake binafsi sio Baba wa taifa hao, wewe pambana na Hali yako. Wewe umegundua nini au unadhani ugunduzi unafanya na professors tu? Tatizo la nyie vilaza mnataka kufanyiwa Kila kitu afu msipofanyiwa mnalalamika. Hao maprofessor hawajagundua kitu na Hawalii njaa. wewe sio professor, shule imekushinda na njaa imekuandama 🤣🤣
 
Back
Top Bottom