Hii ndio Kanda ya Kaskazini

Acha siasa,ukabila ni 100%
Msukuma tangu ashike anawapa tabu sana, na tutamuongezea miaka mingine 10 Ili msahaulike kabisa kwemye uso wa TZ.Hamna jeuri ya kumzzuia hata tukienda kwenye sandku la maoni kura za hapana za wachaga zitakuwa 5β„… tu, mjiandae kuisoma namba 20 year.
 
Nikiwa high school nilikuwa ni moja ya watu wasiosita kutaja anatoka kanda yani,kaskazini forever
 
asante kwa kumjibu huyu mshamba wa kigoma,tatizo LA kuishi maishA mAgumu kule kwao buhigwe limeathiri ubongo
amefika mjin juz kwa lifti ya Lori LA dagaa Anadhan watu wote washamba kA yey
 
Dah! mkuu unasema mno ukweli, wasitiri kidogo..
 
Hii Avatar yako duh, nikiangalia najisikia kutapika.. Is like nakuterm kama mchawi na mtu mweusi sana
 
Kaskazini ni damu na biological trait.. Mfano mzaramo akiamia kaskazini atabaki na damu, akili, attitude na tabia za kizaramo.. Hata ikiamia hauwezi kufanana na watu wa kaskazini kibiologia
 
Nanyie tokea Yule jamaa awe rais kwa bahati Ya mtende, bas nanyie mjioni mnacompetetion
😁😁😁😁😁😁
 
Hajaanza yeye kuleta hizi figisu,atashindwa kama wenzake na tunazidi kusonga mbele. Hatuhitaji favour wala huruma ya Serikali ya CCM ili kupata maendeleo. Wewe endelea kuishi na kuamini kuwa CCm itawaletea maendeleo kwenye Mkoa wenu wa kimasikini.
 
Hivi manyara monduli si kumejaa wachunga ng'ombe?
Wamasai huku now wamegeuza ufugaji biashara, Now katika ngombe zake elfu kumi, anauza hata elfu 5000,anakuja kujenga hotels na guest mjini, now hapo makao mapya wanawamisha waswahili mbaya.. And ni wafanya biashara wakubwaa wa madini hapa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…