HahaaaNaona watu na Kanda yao "keep the fire burning" hivi hiki kiingereza watu wa kaskazini ndo huwa mnamezeshwa na watalii sio "nikiona mtu anajisifia anakotoka namwona waheed kabsa,,, jisifie kwa kile ulichokifanya wewe na kwa trend inavyoenda mnaenda kupoteza crown kwa kuendekeza ulevi usiofaa,, maendeleo yaliyopo kaskazini mengi yalifanyika miaka ya nyuma kipindi tunafuata sukari moshi,, kwa sasa upepo umebadilika na Hali hii baada ya miaka 15 tu sijui nani anajisifia eti Kanda gan unatokea,,, huu ujinga uwatoke na pombe muache mnapata hepatitis kijinga tu mtu Ana hela anakuja Ana liver failure,, sasa unadhan sisi tutaweka liver mpya shauri ya pombe yao
Kwa kufuata ushauri huu unafikir mikoa kama shinyanga ikipewa mamlaka ya kutumia mapato yake yenyewe Bila kwenda serikali kuu Hali itakuwajeIli nchi iwe imara kabisa kisiasa na kiuchumi ni lazima pawe na mamlaka za kikanda na kila kanda iwe inasimamia maendeleo yake kwa kasi.
Hakuna uongo bwashee hata pombe mnaongoza piaHahaaa
Kumbe dozi imeingia saafi sana,
Kiingereza ndio nilimeza hicho kidogo mkuu najaribu kukiwekaweka walau nisisahau
Ukweli utabaki kuwa ukweli mimi nimetoa mawazo kwa uelewa wangu kulingana na mada iliyoko mezani povu la nini?
kipi cha uongo hapo?
Mada haisemi tuongelee mafanikio binafsi, soma vizuri au anzisha uzi wako tuchangie.
Hilo sikupingi 100%Hakuna uongo bwashee hata pombe mnaongoza pia
Naaam, then asubuhi kisusio [emoji5] [emoji5] [emoji5]Hilo sikupingi 100%
Kisusio huku Mganza(Chato) ni changamoto mkuuNaaam, then asubuhi kisusio [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Hafu kaskazini ina mikoa zaidi uliyoitaja sema watu wameikremisha hyo
Soma kila post ya wachangiaji ya kila kurasa ya huu Uzi halafu utajua mantiki ya wachangiaji ni ipi.Labda hujamuelewa mtoa mada mkuu mkuu,
Binafsi sijaona ubaya wa uzi huu
Ni kama kuwashindanisha watoto wako wanaosoma shule tofauti za viwango sawa kwa mtihani mmoja
Just kuwapa changamoto sio kiwatenganisha
We unadhani ule mlima unajitunza wenyewe au unatunzwa na wazawa,mkichangishwa 6000 kwa ajili ya kuuhufadhi mlima k njaro mtakubali?kodi analipa ww ama mzungu kweny mlima kaka...alaf mlima sio mali ya mtu nakurekebishaa ni mli ya watanzania...
Mtahiruwe piaBless, itafika wakati watu wa kanda ya ziwa tutaizunguka Tanzania yote, tutajazana sekta zote zilizopo nchini kiufupi namaanisha, maamuzi kwenye kupiga kura yatategemea kanda ya ziwa kutokana na wingi wetu.
Hii ndio tabu ya kujiona duni. Hivi mtu akisema shule fulani ni bora kulingo nyingine ni ubaguzi? Watu bhana
Hiyo issue ni privacy, una kingine?Na
Mtahiruwe pia
Kumeitwa kanda ya ziwa kwasababu kuna ziwa mkuu,Na kanda ya ziwa ni ipi??
Mafuta na gesi inasemekana yapo ziwa Eyasi. Kinachonishangaza mimi ni mpaka sasa Arusha kutokuwa na kituo cha Television, Ni aibu kubwa kwa hao unaowaita matajiri wakati manispaa tu kama Morogoro wanacho.
Nimeoa kanda ya ziwa na nina Amani kubwa kwenye ndoa yangu.Mkuu Umegusa Kila Angle.. Wacha Niongezee Kidogo..
Watu wa Kaskazini tumebarikiwa sana ila sasa Naona tunaingiza ubaguzi Mkubwa sana kwa wa Tanzania wenzetu, Wakaskazini wanaweza Kuoana wao kwa wao na wasiliteane hitilafu ila wacha waoane na Makabila Mengine..
Kwa Mfano mimi siwezi kudate na Demu ambaye sio Mkaskazini.. yaani sijui namwonaje yaani Nakuwa simthamini..Tofauti na Mkaskazini mabaye namwona kama Ndugu na Namthamini na Kumpenda Automaticaly!
Mkuu, in nature watu wa Kaskazini wako Smart sana Kichwani hata kama hajaingia Darasani.. ni watu wanaojiamini sana Kiasili..Watu wa Kaskazini ni watu wanaoamini wana Species nzuri saana, Kuna MWandishi mmoja Mkenya Simkumbuki Jina aliwahi Kusema Watu wa Kaskazini ni Watu wenye Muonekano Mzuri wa Sura Kuliko wote Tanzania!
Pia Naiona Singida ikianza kuwa na Ukaribu na sisi, kwa Maana saivi kumtofautisha Msinginda hasa Mdada na Wadada wengine wa Kikaskazini ni Ngumu saana!
Tuipende Kaskazini Yetu!
Natokea Babati!