cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 86,523
- 138,775
Hapo sasa Kiduku Lilo ndani ya mjengo, mi 5 tena.
.... Hata mie nmegundua chai hii....
Jamaa ni muongo huyo....
Muulize tangu asubuhi kama hata chai amekunywa😂Isikute uli risit form 4 mara tatu
Na hapo ulipo umepanga chumba kimoja buza, endelea kuota inaruhusiwa
Mkuu hata hizo za magari ulikuwa unamuamini?!Leo ndio nimeamini ww ni mtu wa chai...
na majani ya chai jaba bora ungeendelea na story zako za uongo na ukweli za magari......hii ya leo ni tea tupu...
Kwa ukwasi wake sidhani kama anaonekana kitaa🤣🤣Nahitaji mtu apige picha na kiduku lilo. Ntainunua kwa tsh 50,000.
Hii sio chai ni supu ya pweza sasa 🤣🤣🤣🤣🤣Leo mmoja ya ma profesa watano ambao walikuwepo kwenye Interview panel waliyonifanyia amenipigia simu kunisalimia.
Nakumbuka siku hiyo nimeitwa kwenye interview kulikuwa na watu 10. Maprofesa 5, Phd Holders 3 na ma CEOs wa Makampuni makubwa Duniani 2.
Interview ilianzia Kenya,ikaenda South Africa,Ikaenda Egypt, ikahamia Ulaya na Marekani.
Pale Kenya ndo walinichoka. Waliniuliza kwa nini tukuchague wewe na si wengine.
Niliwarekebisha kwanza. Nikawaambia siyo wao wanichague. Mimi ndo niwachague kufanya nao kazi.
Jamaa walishtuka Mmoja akauliza kwa nini. Na kumbuka hili ni shirika la Kimataifa la fedha Duniani.
Nikawaelezea CV yangu ni kubwa sana. Prof mmoja akasema nimpelekee. Nikampelekea. Akanambia "Siyo kitabu nipe CV yako" nikamwambia ndo hiyo. Akasema hapana. Akafungua akakuta kuna pages 200.
Wakasema niwape muda wajadiliane mambo. After 10 mins wakaniita wakanambia wameamua nijielezee.
Nlianza jielezea saa 3 ile mpaka saa 6 nawaeleza Makampuni ambayo nimefanya nayo kazi na pia Elimu yangu. 3 hours wakanambia nipumzike kwanza nao wapate break.
Baadaye waliponiita wakasema nimebakiza kama muda gani. Nikawaaambia masaa kama 6 hivi ndo nimalize. Wakanijibu niachane nayo wameshanielewa.
Basi nikawaambia waniulize maswali.wakawa hawana wanatizamana tu usoni na kila mtu naona alikuwa busy kuandika nliyokuwa naongea. Nlikuwa kama nawapiga lecture.
Saa zima nawasubiri waniulize maswali wanategeana. Nikawaambia basi niwaulize mimi maswali. Wakagoma kabisa.
Wakasema suala langu niende nikajadiliane na watu wa South Africa, kule wakasema niende Egypt kule wakasema niende nchi kadhaa za Ulaya, wakanisukumia China,wakanirudisha USA. Huko ndo wakaniuliza kwa nini kwa ile CV nmeamua kufanya kazi nao maana wanaona kama hakuna Shirika Duniani linaweza ni hire.
Nikawaambia ni mapenzi tu kutaka isaidia Dunia wakaniomba niwatajie nataka nilipwe Usd ngapi. Ila wakanisihi sana nisije nikatamka kubwa mpaka wakanikosa.
Basi ndo Kuajiriwa. Sikai sana Ofisin mara ILO wanataka kunitumia, mara IMF mara WHO, mara UNHCR, mara UN, mara OAU yaani nimejikuta tu kila sehemu wananitaka. Ukiacha Apples , Bill Gates, Warren Buffet, Ali Baba, Amazon ambao wao hutaka nifanyie tu Consultation. Wananilipa kwa sekunde.
Matajiri na baaadhi ya wasomi wakubwa Duniani wananambia bwana mdogo kwa hii CV labda ukaombe kazi Mbinguni tu. Huku Duniani ni kama tunakupunja. Halafu mpaka kitakosekana cha kukupa changamoto.
Huwa siwajibu kitu. Natabasamu tu coz nipo very Humble. Leo wananishangaa kuwa Why nakuja ishi nchi ya Dunia ya Tatu. Wakati ngeungana na watu flani flan tungeweza hata enda Ishi Mwezini huko. Au hata Mbinguni.
Na video fupi fupiNyuzi zako uwa zinakosa PICHA TU
Zile chai tupu lkn tulikuwa tunaenda nae hivyo hivyo....hii ya leo imebidi tumkatae mazimaMkuu hata hizo za magari ulikuwa unamuamini?!
When will you stop behaving like a nincompoop? ona sasa unavyotukanwaLeo mmoja ya ma profesa watano ambao walikuwepo kwenye Interview panel waliyonifanyia amenipigia simu kunisalimia.
Nakumbuka siku hiyo nimeitwa kwenye interview kulikuwa na watu 10. Maprofesa 5, Phd Holders 3 na ma CEOs wa Makampuni makubwa Duniani 2.
Interview ilianzia Kenya,ikaenda South Africa,Ikaenda Egypt, ikahamia Ulaya na Marekani.
Pale Kenya ndo walinichoka. Waliniuliza kwa nini tukuchague wewe na si wengine.
Niliwarekebisha kwanza. Nikawaambia siyo wao wanichague. Mimi ndo niwachague kufanya nao kazi.
Jamaa walishtuka Mmoja akauliza kwa nini. Na kumbuka hili ni shirika la Kimataifa la fedha Duniani.
Nikawaelezea CV yangu ni kubwa sana. Prof mmoja akasema nimpelekee. Nikampelekea. Akanambia "Siyo kitabu nipe CV yako" nikamwambia ndo hiyo. Akasema hapana. Akafungua akakuta kuna pages 200.
Wakasema niwape muda wajadiliane mambo. After 10 mins wakaniita wakanambia wameamua nijielezee.
Nlianza jielezea saa 3 ile mpaka saa 6 nawaeleza Makampuni ambayo nimefanya nayo kazi na pia Elimu yangu. 3 hours wakanambia nipumzike kwanza nao wapate break.
Baadaye waliponiita wakasema nimebakiza kama muda gani. Nikawaaambia masaa kama 6 hivi ndo nimalize. Wakanijibu niachane nayo wameshanielewa.
Basi nikawaambia waniulize maswali.wakawa hawana wanatizamana tu usoni na kila mtu naona alikuwa busy kuandika nliyokuwa naongea. Nlikuwa kama nawapiga lecture.
Saa zima nawasubiri waniulize maswali wanategeana. Nikawaambia basi niwaulize mimi maswali. Wakagoma kabisa.
Wakasema suala langu niende nikajadiliane na watu wa South Africa, kule wakasema niende Egypt kule wakasema niende nchi kadhaa za Ulaya, wakanisukumia China,wakanirudisha USA. Huko ndo wakaniuliza kwa nini kwa ile CV nmeamua kufanya kazi nao maana wanaona kama hakuna Shirika Duniani linaweza ni hire.
Nikawaambia ni mapenzi tu kutaka isaidia Dunia wakaniomba niwatajie nataka nilipwe Usd ngapi. Ila wakanisihi sana nisije nikatamka kubwa mpaka wakanikosa.
Basi ndo Kuajiriwa. Sikai sana Ofisin mara ILO wanataka kunitumia, mara IMF mara WHO, mara UNHCR, mara UN, mara OAU yaani nimejikuta tu kila sehemu wananitaka. Ukiacha Apples , Bill Gates, Warren Buffet, Ali Baba, Amazon ambao wao hutaka nifanyie tu Consultation. Wananilipa kwa sekunde.
Matajiri na baaadhi ya wasomi wakubwa Duniani wananambia bwana mdogo kwa hii CV labda ukaombe kazi Mbinguni tu. Huku Duniani ni kama tunakupunja. Halafu mpaka kitakosekana cha kukupa changamoto.
Huwa siwajibu kitu. Natabasamu tu coz nipo very Humble. Leo wananishangaa kuwa Why nakuja ishi nchi ya Dunia ya Tatu. Wakati ngeungana na watu flani flan tungeweza hata enda Ishi Mwezini huko. Au hata Mbinguni.
Tunakusubiri uamke ndotoni tukuchape makofi umejikojolea kitandaniLeo mmoja ya ma profesa watano ambao walikuwepo kwenye Interview panel waliyonifanyia amenipigia simu kunisalimia.