Yani ni kuharibu watoto haswaa..Duh!!!mbona ni hatari sana hii. Shule gani huko?? Halafu wanajishaua na mitaala ya Cambridge sijui Stamford, my ass. Kutuharibia watoto tu.
Kama unauhakika na unachokinena weka cover la hicho kitabu.
Kwa elimu hii wanayopewa watoto wetu huko international schools, tujiandae kuwakamata kina Milembe na Shonza wengi sana huko mbeleni.
Nimejaribu sijaona tatizo,Mkuu ina maana hujaona shida hapo? Rudia kuangalia kwa makini hicho kitabu cha kufundishia watoto wetu huko International School.
Wewe kweli KIZIBOBora wakajue hata hizo mom's na dads huko kuliko St. Kayumba
Not a laughing matter at all!Two dads and child...teh
St. Kayumba kwenye ubora wakoWewe kweli KIZIBO