Hii ndio elimu inayotolewa na International schools

Dah kweli mkuu hauna macho yaani two dads and children and two moms and children kwako imekaaa sawa tu ?
Ukisoma kwa mtaala wa cambridge umeamua hivyo.

kwasababu familia za hivyo zipo kwangu naona watoto wafundishwe kazi ni kujadili prons na cons za kila mfano.


Ila bado hii inakuwa story kama story zingine huenda ni kitabu tu aidha angeonyesha kinatumika shule gani.
 
b946725beb6e23f0d9e0ba931e564f36.jpg

Kwa elimu hii wanayopewa watoto wetu huko international schools, tujiandae kuwakamata kina Milembe na Shonza wengi sana huko mbeleni.
Mleta hoja ni mbulula wa kiwango cha standard gauge. Hicho kitabu kimepigwa marufuku na serikali na kilikuwa kinataka kuingizwa kwenye shule za english medium. MY POINT siyo kila shule inayotumia lugha ya kiingereza kama lugha ya kufundishia ni international school. So mleta hoja ni bora akaelewa tofauti ya english medium schools na international school. Kama anabisha aende IST au ISM kama atakuta kitabu kama hicho. Labda ametoa kwenye international school ya Kolomije ambako hata vyeti kwa wahitimu hakuna.
 
Back
Top Bottom