ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,121
- 5,332
baada ya comment yako ndio nimeelewa hasa ufuska wa wanachofundishwa watoto kupitia hivyo vitabu, so sad kwa kweli, ni kuharibu watoto, ku a haja wa wizara husika kuhariri vitabu vya kufundishiaTwo dads and child!
Aiseee hii kama apps za simu tunaita ni updated kwa kweli..
Wanafunzwa tangu wakiwa wadogo kuzoea ufuska na kuuona wa kawaida,