Hii ndio elimu inayotolewa na International schools

Mwanao pia anajua kua wanaume wanaweza kukazana na kuzaa mtoto?
Kuna vitu vizuri vya kusupport ila reference uliyotoa haiendani na portray
Mkuu hilo bango na kilichoandikwa umekielewa kabla ya kunishambulia? Jipe mda ,angalia kwa makini halafu tafakari.
 
Nimetafakari boss ila ulicholegitimize ndicho kimenishangaza kidogo
Hapana mkuu! Kuna mambo mengi yamebadilika sana, Mimi nina watoto watatu wa kiume! Wakiwa wanaenda shule nawaambia kabisa kuwa mtoto mwenzie akimshika tako apige akishindwa ang'ate akiulizwa aseme baba aliniambia Mimi ndiye nitakayejibu.Haya mambo inatupasa kuwajulisha watoto ila tu wasijue kuwa mtoto anapatikana vipi! Ukiangalia hilo bango linaelimisha kuwa familia ninini.
 
Yani kitabu kimeanza what is family then chini kinaonesha aina mbali mbali za family sasa hii two dad, two momy yani hapo wana encourage homosexual behaviour mamaeeee.
 
Hapana mkuu! Kuna mambo mengi yamebadilika sana, Mimi nina watoto watatu wa kiume! Wakiwa wanaenda shule nawaambia kabisa kuwa mtoto mwenzie akimshika tako apige akishindwa ang'ate akiulizwa aseme baba aliniambia Mimi ndiye nitakayejibu.Haya mambo inatupasa kuwajulisha watoto ila tu wasijue kuwa mtoto anapatikana vipi! Ukiangalia hilo bango linaelimisha kuwa familia ninini.
Sasa hapo ndo penye shaka ukianza mfundisha hivyo atajiuliza hvi kwanini nsishikwe tako akijijua wa kiume hawatomgusa ila aakiwa na mashaka wamepita naye
 
Ila Luna international school ambazo zinafuata mfumo wa Cambridge kwa maana mtaala
Afu English medium hizo zinafuata mtaala wetu isipokuwa wanarumia lugha ya kingereza
Sasa mwanao alisoma zipi?
Hapa watu wanachanganya sana
Nadhani mtoa mada anamanisha zile international school si English medium

Mimi wangu anasoma Hizi zenye mitaala ya shule za kawaida, nachofanya mimi nampeleka twisheni za hesabu za kiswazi, basi anazigonga hesabu vizuri tu, hizo za Cambridge miyeyusho mkuu
 
Mleta hoja ni mbulula wa kiwango cha standard gauge. Hicho kitabu kimepigwa marufuku na serikali na kilikuwa kinataka kuingizwa kwenye shule za english medium. MY POINT siyo kila shule inayotumia lugha ya kiingereza kama lugha ya kufundishia ni international school. So mleta hoja ni bora akaelewa tofauti ya english medium schools na international school. Kama anabisha aende IST au ISM kama atakuta kitabu kama hicho. Labda ametoa kwenye international school ya Kolomije ambako hata vyeti kwa wahitimu hakuna.
Acha povu tuletee cover
 
Ukisoma kwa mtaala wa cambridge umeamua hivyo.

kwasababu familia za hivyo zipo kwangu naona watoto wafundishwe kazi ni kujadili prons na cons za kila mfano.


Ila bado hii inakuwa story kama story zingine huenda ni kitabu tu aidha angeonyesha kinatumika shule gani.
Kuwepo kwa ushoga/ usagaji haimaanishi uwafundishe watoto wasiojua kitu, tuta-corrupt vichwa vyao angali wadogo
 
Nawaza tuu, hivi na international school of moshi haitumii vitabu kama hivi ? Kuna kitu natafuta.
 
Back
Top Bottom