englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hii lini mkuu englibertm?
Afu ungetaja eneo kwa Kila Picha mkuu wengine haut kujui huko njia panda ya ulaya!
mikocheni,tabata msasani shamba la mpungahii lini mkuu englibertm?
Afu ungetaja eneo kwa kila picha mkuu wengine haut kujui huko njia panda ya ulaya!
Hii lini mkuu englibertm?
Afu ungetaja eneo kwa Kila Picha mkuu wengine haut kujui huko njia panda ya ulaya!
Dar haistahili kuwa na mafuriko kwani bahari ipo karibu sna kudirect maji. Tatzo ni POOR City Plan, Poor Drainage System, Poor Governance (both Gvt + City Councils),nk. Kuna uwezekano mkubwa wakujenga madaraja makubwa na mapana hayo hayo yakawa barabara, huku yakimwaga maji baharini. Wenzetu wanatafiti kuishi sayari ya Mars, sie tunalia lia na mafuliko, kitu kidogo hiki!! Je zikija zile Earthquakes, Tusnami (Hurricans), Mioto mikubwa, Ally Kaida?