SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,181
- 1,707
1887 Dar ilikuwa na wakazi 3000
1887 Zanzibar (Unguja) ilikuwa na wakazi 80,000.
nakumbuka enzi hizo ilikuwa inaitwa mzizima kulikuwa na gorofa moja
Yani ningechukua masaki na mikocheni nzima kudaadeki. Ukoo wa Nyamgluu ungekua na hela balaa!
Palikuwa pazuri pakuishi
du!! enzi hizo kabla ya dengue haijaanza kufanya mambo, na hii ni kabla ya dada poa kujinadi buguruni
Ni mtaa gani huu kwa sasa?
Ni mtaa gani huu kwa sasa?