Tena ya political scienceKumbe ana degree? Sikujua nilidhani wana mitindo na wasanii wa TZ hawana elimu ya juu
Na upper second class kabisa.Tena ya political science
Hio B.P.S ni Bachelor of Political Science ingawa nilivyokua namuonaga ni kama vile alikuaga anasoma Sociology...Amesomea nini
Ukiwa mkubwa au ukiwa na hela?Huyu dada anasubiri kuolewa na mimi
Hahaaaaaaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji817]Tunakoelekea ni kuwa na Mswati.
Tehe tehe!!!Hivi wanaotoaga likes kwenye thread za hatari,nao wanakuwa matatani?
HahahhahaHahaaaaaaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji817]
Shule kasoma wapi?
Hio B.P.S ni Bachelor of Political Science ingawa nilivyokua namuonaga ni kama vile alikuaga anasoma Sociology...
Channnndema hawachelewi kumzushia ana uraia pacha.. haaah
kwa familia anayotokea ni lazma alikuwa asome hata kilazima ila ilikuwa ni lazima asomeKumbe ana degree? Sikujua nilidhani wana mitindo na wasanii wa TZ hawana elimu ya juu
Watapata tabu sanaaaa... mwaka huu..wameshazusha tayari wanataka karatasi za mahakamani alizoapa kuukana utrump 😀😀😀