hahaaaaNdio hivyo mkuu kama ulikuwa na mpango wa kujiweka jua ni mama yako mdogo huyo
Aiseeee"Katiba inasema mwenye nchi akiamua
Hakuna wakupangua zaid n ya alie juuu
Ya mawingu
hahahaa hahaaMkurugenzi wa NSSF alikua na CV inapakiwa kwenye fuso na akatumbuliwa, mambo ya CV safari hii hayapewi kipaumbele sana.
loyola high school na st. anthonyShule kasoma wapi?
MastersDuh! Kumbe ana degree
Kazi tunayo kwa kwelieti ndio hivyo mzee baba!!!
BPSAmesomea nini
Kuna tofauti kati ya CV na résumé? vyote sawa sema lugha tuHiyo ni Rèsume sio CV.
Hahahaaaaaaa khaaaa nimecheka sanaMkurugenzi wa NSSF alikua na CV inapakiwa kwenye fuso na akatumbuliwa, mambo ya CV safari hii hayapewi kipaumbele sana.
Tanzania haijakubali Uraia wa Nchi 2 labda alishaukana wa MarekaniNaona ni mzaliwa wa marekani.
Katiba inasemaje kwenye hilo??