Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Wakati chama hiki kinasajiliwa na Kinana, Nape aliwahi kusema Zambarau inawakilisha usaliti na ugaidi, wakati nyota inawakilisha kuwa chama kitakuwa wakala mwaminifu kwa ccm kudhoofisha upinzani
Mwenyekiti wa chama hiki kipya kilichoanzishwa na ccm, Kada mwaminifu wa CCM Zitto Kabwe hawezi kukanusha haya
Mwenyekiti wa chama hiki kipya kilichoanzishwa na ccm, Kada mwaminifu wa CCM Zitto Kabwe hawezi kukanusha haya