Hii ndio bendera ya ACT, rangi na maana zake

Hii ndio bendera ya ACT, rangi na maana zake

wabungenjaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,782
Reaction score
337
Bendera ya cham cha ACT - TANZANIA,ina rangi ya zambarau kuwakilisha taswira ya mchanganyiko wa wanachama kila kona ya nchi,utambuzi wa umuhimu wa wananwake,familia katika jamii, pia ni alama yenye kujali makundi yenye mahitaji maalum na ya ziada katika jamii kama ile watoto, wazee na walemavu.

NYOTA; Nama ya kumulika na kuagaza ikiasiria uwazi ambo ndio msingi mkuu w ACT.

RANGI ZA BENDERA YA TAIFA
; Kashiria uzalendo,upendo na utayari wa kuliinda na kulitumikia taifa
 
Mnaangaika bure mwenyekiti wenu mtarajiwa tayari ameshaanza kulia lia kama mtoto mchanga.
 
Mlikurupuka kuunda chama, sasa kwa kutokuwa makini mpaka leo hii mmeshindwa kutangaza majina ya viongozi wa chama hiki cha wasaliti.
 
Hizo maana ni za kubambika,maana halisi ni majonzi,maombolezo.
Wenzetu mnaomboleza kufukuzwa chadema kwanini?
Mngepambana kiume na sio kuomboleza
 
Mnafikiri Mbeya kupitia Mbeya city watawaunga mkono?
 
Bendera ya cham cha ACT - TANZANIA,ina rangi ya zambarau kuwakilisha taswira ya mchanganyiko wa wanachama kila kona ya nchi,utambuzi wa umuhimu wa wananwake,familia katika jamii, pia ni alama yenye kujali makundi yenye mahitaji maalum na ya ziada katika jamii kama ile watoto, wazee na walemavu.

NYOTA; Nama ya kumulika na kuagaza ikiasiria uwazi ambo ndio msingi mkuu w ACT.

RANGI ZA BENDERA YA TAIFA
; Kashiria uzalendo,upendo na utayari wa kuliinda na kulitumikia taifa

NCHI IMEZAMA NA INAHITAJI UKOMBOZI WA HARAKA, LEO MNALETA WATU TUKAE CHINI KUANZA KUJIFUNZA MAANA ZA RANGI ZA BENDELA YENU NA IMANI ZENU JUU YA RANGI!

Hatuna muda kuwasikiriza ili mjifunzie siasa na kuwagawa watu kuongeza vyama wakati hapa tunahangaika kuviunganisha vyama nyinyi mnavunja vyama vyenye nguvu halaf mnajiita mnahitaji umoja!

Mlitaka muwe wenyeviti na maraisi maana mmesoma sana. kuweni marais sasa ili mfurahi.
 
Leo wenzenu wapo kwenye mambo ya maana kwa mustakabali wa taifa letu na vizazi vijavyo, nyie ndo kwaanza mpo kwenye rangi - duh!!
 
Back
Top Bottom