logician mkuu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 792
- 221
Kitambaa cha jeneza, kimekuwa bendera ya chama cha siasa...
Hahahahahahaaaaaaaaaaa
Hahahahahahaaaaaaaaaaa
Ofisi ni mioyo ya watu aisee na kuwasaidia wanachokihitaji.
Acha kuwaza kiccm ccm vile
Bendera ya cham cha ACT - TANZANIA,ina rangi ya zambarau kuwakilisha taswira ya mchanganyiko wa wanachama kila kona ya nchi,utambuzi wa umuhimu wa wananwake,familia katika jamii, pia ni alama yenye kujali makundi yenye mahitaji maalum na ya ziada katika jamii kama ile watoto, wazee na walemavu.
NYOTA; Nama ya kumulika na kuagaza ikiasiria uwazi ambo ndio msingi mkuu w ACT.
RANGI ZA BENDERA YA TAIFA; Kashiria uzalendo,upendo na utayari wa kuliinda na kulitumikia taifa
Chadema hichoChama cha mamluki
ni kweli mkuu hiki ni chama cha wasaliti na wahuni wakubwa
![]()
![]()
Chama cha kifo.
Chama cha kuua upinzani Tanzania
Chama cha kifo.Kama nyota ni Uislam mbona china katika Bendera Yao Ina nyota tano nao ni waislam?
Msiwe wa dini wakubwa nyie!