Bora ACT wameshakodi ofisi kuliko Chadema hawana hata ofisi,
Bora ACT wameshakodi ofisi kuliko Chadema hawana hata ofisi,
Nyota inawakalisha nyumba ya ibada
Ngongo karibu njiro Tanesco tunafungua tawi la ACT- Tanzania.Mnaangaika bure mwenyekiti wenu mtarajiwa tayari ameshaanza kulia lia kama mtoto mchanga.
Mnaumia na kuweweseka juu ya mafanikio ya ACT TANZANIA, Chama kinachokua kwa kasi na ambacho ni tumaini jipya la kweli la mtz...na bado. hizi lugha zenu za kushindwa zitawatokea puani.vibaraka
Ati na wewe wasemaje?
Ofisi ni mioyo ya watu aisee na kuwasaidia wanachokihitaji.
Acha kuwaza kiccm ccm vile
Ulitaka niseme unachokisema wewe?
Mmeukaliaovyooo!
Aiseee, kweli aiseee!!! ACT maana yake IGIZA. Jamaa hawa wanafanya mchezo wa kuigiza!!!!!!
ni kweli mkuu hiki ni chama cha wasaliti na wahuni wakubwaRangi ya zambarau kwangu inawakilisha usaliti na kutojiamini.Nisije nikawaone huku kijijini kwangu
Naibili.Nitaagiza vijana wangu wawapopoe mawe! Am serious!