elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
Kumbe kila unavyomzingua paka ndivyo anazidi kukunja mkiaIngia fb mwshon kabisa kwny menu click free basic AF download iyo free basic app iliuwe unaingia kirahis process zote n bila malipo
Kumbe kila unavyomzingua paka ndivyo anazidi kukunja mkiaIngia fb mwshon kabisa kwny menu click free basic AF download iyo free basic app iliuwe unaingia kirahis process zote n bila malipo
Hahahahaha kwann aiseeKumbe kila unavyomzingua paka ndivyo anazidi kukunja mkia
Wakibana mnaibukia huku wakibana huku mnaibukia kule life linaenda kama kawaida.Hahahahaha kwann aisee
Ndo mpango mzima mwisho wask maisha inabidi yaendeleaWakibana mnaibukia huku wakibana huku mnaibukia kule life linaenda kama kawaida.
Aha ha ha ha ha ha ha ha mimi nasema JF ni zaidi ya vichekesho.Tunakoendea Ugali utakuwa ni anasa.
Bora ninunue mchele.
Nchi haina njaa, serikali haina shamba, sitoi chakula, period.Tunakoendea Ugali utakuwa ni anasa.
Bora ninunue mchele.
MIHOGO INAPATIKANA WAP MKUU?
Kimahesabu nunua huo wa kilo 50 kwa shilingi 74,000/= utaokoa fedha nyingi sana. Kilo moja ni shilingi 1480/=Habari wakuu, hali ya maisha imezidi kuwa mbaya kiuchumia kwa baadhi ya raia wengi wa nchi hii. Pesa ikiwa haipatikani na ikipatikana hamna cha maana unachoweza kuifanyia...
Nimekuwa nasikia kupanda kwa unga tu, jana nimepita mashine kununua unga kilo 25 kwa bei ya jumla na kukuta unga umepanda bei kwa asilimia kubwa mwanzo unga kilo 25 tulikuwa tunanunua kwa sh.32.000 ila kwa sasa umefika sh 37000...
Bei ya reja reja kwa eneo nililopo kilo moja ni 1700.. Itakuwa vyema uzi huu ukatumika kupeana bei ya chakula hiki muhimu kwa watanzania wengi.
![]()
![]()
![]()
Namanisha affordabity na accessibility ya Mahindi, be meditative mrKwa awamu hii! Kwamba selikali ndio inalima mahindi ama,