cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,809
wakuu wanataka kusikia watu wanakufa ndio wata declare njaa ila bei kupanda ya chakula hawaseminjaa inaua.....!!
Kilo ya njegele ni sawa kabisa na kilo ya nyama 5000 hadi 6000
wakuu wanataka kusikia watu wanakufa ndio wata declare njaa ila bei kupanda ya chakula hawaseminjaa inaua.....!!
kigoma ipi hiyo kigoma ambapo soda inauzwa sh 1000Mchele upo wakutosha kg
ni msimu huu tu nenda shambani uone bei zinavyo shuka mwaka kesho,kilimo sio sport sport inahitaji kuchungulia kesho kwanza.Nadhani hii itahamasisha vijana wengi zaidi kushiriki kilimo maanake ilikuwa wanasingizia hakuna masoko.
Hapana ndugu, umesema wakati mnauza mahindi bila kutaja kundi lipi,hebu kuwa na utu.Tanzania wanaolima mahindi kwa kufanya biashara ni very limited.Sio wote wanaoteseka ni wakulima wa nafaka kama mahindi au mchele,si wote wanaoumia ni wakulima, wengine walilazimika kuuza kila kilicho chao ili tu wajikwamue angalau,nawengine walipeleka wagonjwa INDIA kwa kuuza mazao.Uwe na utu basi hata kama hujapata malezi bora basi jifunze kwa wengine.Mimi sina njaa ila naona majirani zangu wanavyoishi kwa ugumuWakati munauza mahindi mulizani nani aje awape chakula endeleeni kusoma namba daadeki
Kisha utapataje taazifa za huko akipo? Au huhitaji umbea wa dunia? Mpe pole na mkumbushe majukumu yake 2020.Acha kununua bando kufidia hilo ongezeko...
duuuuh njegere izo au?wakuu wanataka kusikia watu wanakufa ndio wata declare njaa ila bei kupanda ya chakula hawasemi
Kilo ya njegele ni sawa kabisa na kilo ya nyama 5000 hadi 6000
Tunakoendea Ugali utakuwa ni anasa.
Bora ninunue mchele.
Mkuu na huku upo pia much respectKumbe bado bei rahisi sana lengo la ng'ombe watatu kwa debe/gunia halijafikiwa ushaanza kulalamika
Namalizia bundle langu maana naona na bundle zimepandishwa beiMkuu na huku upo pia much respect
hahahaha hahahahahaha me npo kwnye modi ya bila malipo ya vodaNamalizia bundle langu maana naona na bundle zimepandishwa bei
Hiyo unafanyaje maana naona kubana matumizi mode in actionhahahaha hahahahahaha me npo kwnye modi ya bila malipo ya voda
Sipendag ujinga
Ingia fb mwshon kabisa kwny menu click free basic AF download iyo free basic app iliuwe unaingia kirahis process zote n bila malipoHiyo unafanyaje maana naona kubana matumizi mode in action