Yaani ni tokea asubuhi mzee .sasa sijajua inatafuta nini ..na hapa kwa eneo la Rombo tarakea hakuna airstrip ya kutua ndege ndogo...au serikali imeanza kufanya boda partol kati ya mpaka wa kenya na Tanzania kwa kutumia ndege? mimi SIJUI kwa kweli.Wanachokitafuta soon watakipata
Ndo unazururaga hivi?[emoji119][emoji119] ha ha haMkuu uko karibu na Oloitokitok au
Nisalimie Nasoro mbadilisha fedha hapo dukani tarakeaNdo unazururaga hivi?[emoji119][emoji119] ha ha ha
Noop, siko Tk mkuu. Ila mitaa yangu hiyoooNisalimie Nasoro mbadilisha fedha hapo dukani tarakea
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndo unazururaga hivi?[emoji119][emoji119] ha ha ha
Wewe ni meku wa TK dadaNoop, siko Tk mkuu. Ila mitaa yangu hiyooo