Hii Nchi ya amani Ipo siku mtaisikitikia

cjuilakini

Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
23
Reaction score
4
Salamu kwenu wakuu.najaribu tazama njinsi nchii inavyo enda naona kabisa Tunapoelekea siko. Kila wakati mambo yanaenda ovyo tu. Mm sio mwanasiasa ila naona kabisa hizo dalili zp😵na kila sehemu ovyoo tu:

1. Elimu mbovu kupita kiasi

2. Sekta ya afya majanga tu

3. Uchumi ndio usiseme. n.k-

Mijitu badala ya kufikiria nijinsi gani nchi yetu itafika pale yenyewe inafikiria nijinsi gani itaiba.-Wengine wapo Bungeni lakini ni useless wanalala usingizi muda wote wakirudi jimboni wapo wapo tu hata hawajui walienda kufanya nini mjengoni.-Kwakua nyie viongozi mnaishi yale maisha ambayo wengine tunayaona kwenye Tamthilia jumba la maana, magari ya kifahari, chakula cha maana. basi ndo mshatusahau sisi tunao ishi kwenye nyumba za makuti mvua ikinyesha majanga kwetu.

Ninayo mengi ya kusema ila acha kwanza coz huu ni mwanzoTANZANIA SI NCHI YENYE AMANI BT NI NCHI AMBAYO WATU WAKE NI WAVUMILIVU TU. SO UVUMILIVU UKIWASHINDA NAHISI NI MAPANGA KWENDA MBELE, SIO MIMI NINAE YAONGEA HAYA YOTE BT NILIYASIKIA VIJIWENI.
 
Tanzania nchi ya WAOGA!

Kamwe tuombe UOGA huo uendelee kutamalaki!

Maana kama siku moja UOGA huu wa watanzania ndani ya serikali hii ya MAJANGILI utatoweka basi nchi hii.....

HAITATAWALIKA TENA!
 
Si uvumilivu tu, ni ujinga mtupu ndiyo unaotuponza watz,, na siku zote wajinga ndiyo waliwao!! Jiulize kule kwenye shida, umaskini ulipotapaka, hakuna maji, zahanati, elimu duni, wala barabara hakuna ndiko wajanja wachache wanakopatia uhalali wa kuongoza na kufisidi nchi hii.. Kalenga ni ushahidi mwingine wa ujinga uliotopea kwa watz waliowengi. Haohao wakikumbwa na shida ndiyo wa kwanza kulalamika....

Nasema maisha na yaendelee kuwa magumu, ili tuheshimiane... Maana ni upu..mbavu mtupu!
 
Salamu kwenu wakuu.najaribu tazama njinsi nchii inavyo enda naona kabisa Tunapoelekea siko. Kila wakati mambo yanaenda ovyo tu. Mm sio mwanasiasa ila naona kabisa hizo dalili zp😵na kila sehemu ovyoo tu:

1. Elimu mbovu kupita kiasi

2. Sekta ya afya majanga tu

3. Uchumi ndio usiseme. n.k-

Mijitu badala ya kufikiria nijinsi gani nchi yetu itafika pale yenyewe inafikiria nijinsi gani itaiba.-Wengine wapo Bungeni lakini ni useless wanalala usingizi muda wote wakirudi jimboni wapo wapo tu hata hawajui walienda kufanya nini mjengoni.-Kwakua nyie viongozi mnaishi yale maisha ambayo wengine tunayaona kwenye Tamthilia jumba la maana, magari ya kifahari, chakula cha maana. basi ndo mshatusahau sisi tunao ishi kwenye nyumba za makuti mvua ikinyesha majanga kwetu.

Ninayo mengi ya kusema ila acha kwanza coz huu ni mwanzoTANZANIA SI NCHI YENYE AMANI BT NI NCHI AMBAYO WATU WAKE NI WAVUMILIVU TU. SO UVUMILIVU UKIWASHINDA NAHISI NI MAPANGA KWENDA MBELE, SIO MIMI NINAE YAONGEA HAYA YOTE BT NILIYASIKIA VIJIWENI.
we mbona umeanza vizuri lakini unakana mwisho! huo ni ukweli usiopingika kabisa one day tu watanzania watachoka tu!
 
Salamu kwenu wakuu.najaribu tazama njinsi nchii inavyo enda naona kabisa Tunapoelekea siko. Kila wakati mambo yanaenda ovyo tu. Mm sio mwanasiasa ila naona kabisa hizo dalili zp😵na kila sehemu ovyoo tu:

1. Elimu mbovu kupita kiasi

2. Sekta ya afya majanga tu

3. Uchumi ndio usiseme. n.k-

Mijitu badala ya kufikiria nijinsi gani nchi yetu itafika pale yenyewe inafikiria nijinsi gani itaiba.-Wengine wapo Bungeni lakini ni useless wanalala usingizi muda wote wakirudi jimboni wapo wapo tu hata hawajui walienda kufanya nini mjengoni.-Kwakua nyie viongozi mnaishi yale maisha ambayo wengine tunayaona kwenye Tamthilia jumba la maana, magari ya kifahari, chakula cha maana. basi ndo mshatusahau sisi tunao ishi kwenye nyumba za makuti mvua ikinyesha majanga kwetu.

Ninayo mengi ya kusema ila acha kwanza coz huu ni mwanzoTANZANIA SI NCHI YENYE AMANI BT NI NCHI AMBAYO WATU WAKE NI WAVUMILIVU TU. SO UVUMILIVU UKIWASHINDA NAHISI NI MAPANGA KWENDA MBELE, SIO MIMI NINAE YAONGEA HAYA YOTE BT NILIYASIKIA VIJIWENI.

tanzania inamajeshu sasa tutatawaliwa tutake tusitake hata wakitugawa kwaudini hawana shida watapeta tu!
 
ww unategemea nn km kalenga wanapewa ulanzi chumvi nakanga za ccm..huko wakionyesh nyuso zakukata tamaa.unategemea nn?
 
Wtz amkeni nchi inaliwa na wanjanja wachache tuna gesi.madini.bandari.mbuga kibao. Ziwa Victoria .wawekezanji kwenye madini kila kiongozi anavuna chake nafamilia yake hospital za serakali hata panadol hamna kodi zetu zinaenda wapi
 
Uwoga wetu ndio umasababisha yote hayo! Tanzania ni nchi ya watu waoga sijapata kuona!
 
naiona vita inakuja wale wezi wa rasirimali zetu cjui watakimbilia wapi
 
Tena sasa hivi wameshaigeuza nchi kua Mali yao baba akiondoka anaachwa mrithi mtoto wake!! Huku nyie watoto wa masikini mkiendelea kiwapigia Kura za kiini macho!!
 
Jamani yote mliyo yatoa rohoni yana ukweli 100%, lakini jamani tuendelee kuwa na upole huu tulionao kwani tukishageuza mioyo yetu kweli kabisa hakutakuwa na amani tena.tazama rwanda hali ilanza hivihivi mpaka matokeo ya 2004.
 
Ipo cku kitaeleweka hiyo ndio imani yangu. lakini tukumbushane kidogo hv kucha zenu mnazo bado au mlipojikwaa zilishangoka.
 
Watu wengine wanafikiri kitoto sana mpaka nacheka. Ebu fikiri toka vyuo vikuu vitatu mpaka zaidi ya 47 halafu eti elimu inaenda ovyo,mtwara tulikuwa tunatumia meli kwenda tena kwa siku 5 leo masaa 7 na kwa basi, mwanza na bukoba ulibidi tupitie kenya na uganda leo tunapita ndani ya nchi,leo zahanati zimetapakaa tofauti na zamani ilitubidi mpaka ukaseme tumsifu yesu kristu kwa daktari wa misheni,. Acheni siasa uchwara hizo eti hadi morogoro kuna foleni ya magari nao wanataka mataa wakati enzi zile basi ni 1
 
Eti tupigane mapanga...!! Wewe utakuwa mtutsi au muhutu ila watanzania hawapo kama hivyo na nchi imepiga hatua kwa maendeleo.
 
Kolokoloni, kinachozungumziwa hapa ni kile kinachopatikana kinagawiwa inavyotakiwa? Habari za ujenzi wa barabara hizo ni mikopo ambayo mimi na wewe tutalipa hadi vizazi vyetu.magari kuwa mengi morogoro na sehemu nyingine hayo ni ya private ambapo watu wanatumia nguvu zao kununua, hata kwa kuuza madawa ya kulevya, meno ya tembo na mikopo.hilo haliwezi kuipa serikali credit.
 
Watu wengine wanafikiri kitoto sana mpaka nacheka. Ebu fikiri toka vyuo vikuu vitatu mpaka zaidi ya 47 halafu eti elimu inaenda ovyo,mtwara tulikuwa tunatumia meli kwenda tena kwa siku 5 leo masaa 7 na kwa basi, mwanza na bukoba ulibidi tupitie kenya na uganda leo tunapita ndani ya nchi,leo zahanati zimetapakaa tofauti na zamani ilitubidi mpaka ukaseme tumsifu yesu kristu kwa daktari wa misheni,. Acheni siasa uchwara hizo eti hadi morogoro kuna foleni ya magari nao wanataka mataa wakati enzi zile basi ni 1

Mkuu embu FUMBUKA na utoke kizani. Inaonekana bado upo katika Giza nene. Labda nikuulize swali moja, hivi unafikiri Tanzania yetu hii ilivyobarikiwa utajiri mkubwa sana, tena naweza sema kuliko nchi nyingine duniani, na hali halisi ya maisha kiujumla ilivyo nchini, sasa tokea nchi ilipopata uhuru wake takribani 53 years ago,je vinaendana?
 
Eti tupigane mapanga...!! Wewe utakuwa mtutsi au muhutu ila watanzania hawapo kama hivyo na nchi imepiga hatua kwa maendeleo.

maendeleo ya div 5 au!? Inabidi uwe unamalizia sentensi au maendeleo ya wizi!
 
Back
Top Bottom