Hii Nchi ya amani Ipo siku mtaisikitikia

Hii Nchi ya amani Ipo siku mtaisikitikia

Wtz amkeni nchi inaliwa na wanjanja wachache tuna gesi.madini.bandari.mbuga kibao. Ziwa Victoria .wawekezanji kwenye madini kila kiongozi anavuna chake nafamilia yake hospital za serakali hata panadol hamna kodi zetu zinaenda wapi

Fanyeni reaction achane porojo,asilimia kubwa ya nchi zilizoendelea kuna historia ya mapnduz au kuuliwa kiongozi kwa faida ya taifa,uku ughaibun ndo hali halis ,achen kelele kwenye media hakuna afuatiliae,fanyen vtendo watu waone kwel mnamaànisha il ata anaekuja atakua anachukua mfano wa mwenzie,leo watu wanagombania uongoz,sababu mshaonekana n watu wa kuongea tu ,kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maj,ingia ndan mtoe chura aache kelele
 
tuna kazi ngumu kama kanga inakufanya upigie kura chama hafu unahangaika miaka mitano kazi tunayo
 
Back
Top Bottom