Hii nchi tunaipeleka wapi iwapo haya ni ya kweli?

Kusema ukweli ni ubwege. Shida mabwege ni wengi mno na wengi wao wanaimba mapambio.
and actually wanaotuburuza si wanaccm wote milioni kumi na nne,bali ni ka kikundi kadogo ka watu wasiozidi 1000 ambao wanalindwa na watoto wetu wenyewe,baba zetu ,mama zetu na ndugu zetu wengine
 
Mtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.

Lakini haikuhusu wabunge walionunuliwa from upinzani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Hili linawezakana tu kama ameama ccm au cuf, lakini kama wameamia ccm au cuf, basi hilo halitawahusu. WAO NI BADUA BANDIKA PAPOHAPO
 
Wakati mwingine nawaza kuwa pengine tulipata uhuru wa kisiasa kabla ya wakati; bado hatujakomaa kujiongoza wenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…