Hii nchi ni kama jalala

Hii nchi ni kama jalala

Risk nyingine kubwa uliyonayo hapo ni kuharibu masikio yako kwa bidhaa feki.
Kuna watu wanapata Noise induced hearing loss kwa appliances feki masikioni mwao. Epuka bidhaa feki hasa za masikio, zinakuwa hazina background noise cancellation na huweza kuharibu hair cells za masikio yako. Nunua kutoka kwa trusted dealer.
 
Juzi nimenunua headphones za JBL nikauziwa bei ndogo sana, nilidhani nimewachapa ila kumbe ni copy na nilijua hilo ila nikikausha tu..

Hazina quality ya aina yoyote.

Imenifikirisha sana.

View attachment 3672248

Nikiangalia product nyingi bongo ni kama tuna consume makapi tu. Hakuna ubora katika kila kitu.

Tukianzia kwenye vyakula na vinywaji ndo usiseme kabisa, bora hata JPM alikuwa anakwenda yeye mwenye kukagua, kuhakikisha sisi wa Tz unapata kilicho bora,

Leo angalia uchafu unaoingizwa nchini, angalieni wachina wa navyo jenga barabara kiholela, angalieni pombe zenye zisizo na viwango zinavyo inhizwa nchini, yaani hili taifa imekuwa kama jalala kabisa.

Katika nyakati watu wanakula vitu vyeney sumu na madhara makubwa ni sasa, maana hakuna mtu wa kufanya kukagua ubora wa kile kina kuwa imported lakini pia kwenye viwanda vyetu yanayo endelea humo unaweza kukuta ni mabaya zaidi ya yale Magufuli alikuwa Anaya kuta.

Leo ukinunua bando ya elf10 inaishia mapema sana, uoigaji uko kila sehemu. Watu hawako accountable hata kidogo.

Hili li nchi aisee imekuwa la ovyo sana, ndo maana hata siwashangai watu wanao hama mazima kabisa.

Ukweli usemwe tu El Nino ikija na magonjwa hatarishi tutapukutika vibaya, maana hata miundo mbinu imekaa vibaya sana. Mazingira machafu, Mifereji imejaa uchafu, na watu hawajali kabisa
Umepigwa kidogo unasema nchi jalala
 
Risk nyingine kubwa uliyonayo hapo ni kuharibu masikio yako kwa bidhaa feki.
Kuna watu wanapata Noise induced hearing loss kwa appliances feki masikioni mwao. Epuka bidhaa feki hasa za masikio, zinakuwa hazina background noise cancellation na huweza kuharibu hair cells za masikio yako. Nunua kutoka kwa trusted dealer.
Mimi huwa ninajali sana kuhusu hilo ndo maana nimeigawa tu.
 
Back
Top Bottom