Hii nchi ngumu sana

Mzee Nassoro Moyo asili yake ni Songea huko zenj alihamia tu na ana nyumba yake pale karibu na uwanja wa MajiMaji ila sasa hao ndio wanajifanya Wazanzibari na kuikana Tanganyika, wamesahau kile kisiwa hakina mwenyewe wote ni wahamiaji tu ndio maana pale kuna Wakomoro,Wachina,Waarabu,wangazija,wamakonde,wanyasa,wanayamwezi,wakurya,wamanyema na hata wanyakyusa!
 

Wakuu Wa Wilaya wenye Asili ya Zanzibar ni wengi mbona, Kuna yule wa Kilosa mbona umemsahau???
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…