Hii nchi kila siku upigaji unaibuka mpya

Hii nchi kila siku upigaji unaibuka mpya

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,157
Reaction score
31,334
Naona siku hizi utapeli umehamia kwenye kuagiza mizigo na upatu.
Hapa utakuta mtu na akili zake anatoa ela halafu baadae anadai kapigwa. Wonders shall never end.
Screenshot_20220320_110139.jpg
 
Mwenye kujua maana ya “MAMUNANA”

Ukiitwa kwenye fursa jua wewe ni fursa. Ukitaka kula kubali kuliwa
 
Kwanza kuandika mwenyewe hajui eti 'HAWAMU' sijui ni mdudu gani ?
 
Mimi sio mtaalam wa uchumi Ila taasisi zetu za fedha hazioni kuna kitu hakipo sawa mpaka watu wanacheza upatu hivi?.
Idea zetu nyingi sisi waswahili zinafail kwa Sababu ya tamaa.
 
Back
Top Bottom