Hii nchi inachekesha sana!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,902
95,405
Kwa mara ya kwanza naona vitu vya hovyo na vya aibu lakini vinachekesha sana!Hivi ni mimi mwenyewe nacheka au kuna mwingine inamchekesha pia?Hivi ni kawaida kukutana na mambo ya hovyo na ya aibu lakini yanachekesha hivi?Sijazoea
43890123.jpg
 
Chadema Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga na za aibu hivi.
 
bado masaa tuu huu wimbowenu unachuja...
 
Wewe utakuwa mshamba hujui kitu, hata ulaya mnakawaabudu mitandao hufungwa kwa maslahi ya Nchi

Jana mlikuwa mnachukua picha za mauaji huko libya Mnasingizia Tanzania

Tatizo lenu akili ndogo
Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga na za aibu hivi.
 
Chato CCM mawakala 900+ na CDM mawakala 400+, najiuliza, je CHADEMA walikosa mawakala? Au ni ujinga ulitendeka?

Aliyesema nchi imekabidhiwa washamba, sasa namwelewa zaidi.

Mara mia jamaa angetangaza hakuna uchaguzi na aka-declare kuwa ataongoza mpaka 2025, kuliko UCHAFUZI huu mkubwa.
 
Huo uwongo wenu wa chadema mwisho wenu ni October

Back
Top Bottom