Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
- Thread starter
- #21
CCM ni hopeless sinners!
Uongo hautawasaidia
CCM ni hopeless sinners!View attachment 1614351
Wewe utakuwa mshamba hujui kitu, hata ulaya mnakawaabudu mitandao hufungwa kwa maslahi ya Nchi
Jana mlikuwa mnachukua picha za mauaji huko libya Mnasingizia Tanzania
Tatizo lenu akili ndogo
Hapa wamefunga mitandao kwa maslahi ya ccm.
Watu hawana la maana wamekalia kuzua mambo ili waandikwe na vyombo vya habari,na hata kama ndivyo ilivyo hao ni watu wa vyama,kila mchadema au mCCM anahitaji Kura apate kazi,wakigombana huko mitaani maana wote ni binadamu mnakujaje kusema hii ni Serikali?Kwa mara ya kwanza naona vitu vya hovyo na vya aibu lakini vinachekesha sana![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi ni mimi mwenyewe nacheka au kuna mwingine inamchekesha pia?Hivi ni kawaida kukutana na mambo ya hovyo na ya aibu lakini yanachekesha hivi?SijazoeaView attachment 1614283
Sio kweli
Watu hawana la maana wamekalia kuzua mambo ili waandikwe na vyombo vya habari,na hata kama ndivyo ilivyo hao ni watu wa vyama,kila mchadema au mCCM anahitaji Kura apate kazi,wakigombana huko mitaani maana wote ni binadamu mnakujaje kusema hii ni Serikali?
Naona mada nyingi zimekalia kuilaumu Serikali tu na kusema hii nchi hii nchi,sasa si mhame nchi mkaishi kwingine?tuone kama mtapaweza
Siko Chato, niko Geita, nimesikia hiyo Habari kupitia kituo Cha Storm FM kupitia reporter wao aliyeko Chato.Huo uwongo wenu wa chadema mwisho wenu ni October
Kumbe kwa maslahi ya nani?
Mpumbavu wewe. Kwa ujinga wako hao marehemu ni waarabu? Ilaaniwe siku mama yako aliyokuzaa.Heshimu maiti sio unapost tu, mnapiga picha za mauaji ya libya ili kuichafua Zanzibar
Na wapotee duniani kwa radi kali.Yeyote anayefurahia uovu,ounevu na damu zinazomwagika ktk uchaguzi huu, Basi Mungu amlaani yeye, familia yake na uzao wao , walaaniwe wazazi wao, walaaniwe mifugo na mashamba Yao!!
wadhalimu, wauaji, waiba kura, wazima mitandao, waleta umasikini, hawatakiwi tanzania, bado tunaendelea kupiga kura
Heche ni mkurya wa ajabu sana. Mwanamme ana tabia za kikeKwa mara ya kwanza naona vitu vya hovyo na vya aibu lakini vinachekesha sana![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi ni mimi mwenyewe nacheka au kuna mwingine inamchekesha pia?Hivi ni kawaida kukutana na mambo ya hovyo na ya aibu lakini yanachekesha hivi?SijazoeaView attachment 1614283
Kwa usalama wa Nchi
Jana Chadema walivyokuwa wajinga wanachukua picha za vita huko libya wanasema ni pemba
Hiyo ndio jamii tunayojenga?
Hivi mwanaume anaejiamini anaanzaje kumfungia mkewe ndani..
inachekesha
obvious ni hanithi