Hii nchi inachekesha sana!

Hii nchi inachekesha sana!

Halima Mdee amekamata kura fake 10,000 ila Polisi wamemtia ndani yeye badala ya kuhangaika na kura fake![emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1614302
Kama ni hivi bora kutwangana tu ili tuone mwisho wake...
Utawala wa kishenzi sana huu chini ya dikteta Magufuli na CCM yake...

Ombi kwenu watanzania wenzangu kwa Msimamizi wa Uchaguzi, wakala, Polisi au yeyote atakaye/ iba kura ashughulikiwe yeye, familia yake na nyumba yake kwani tunaishi nao Mtaani....Unyama Unyama tu !!
 
Chato CCM mawakala 900+ na CDM mawakala 400+, najiuliza, je CHADEMA walikosa mawakala? Au ni ujinga ulitendeka?

Aliyesema nchi imekabidhiwa washamba, sasa namwelewa zaidi.

Mara mia jamaa angetangaza hakuna uchaguzi na aka-declare kuwa ataongoza mpaka 2025, kuliko UCHAFUZI huu mkubwa.
Nani akubali kua wakala wa shoga anayetenga eneo...Mara ngapi kitundu Cha lisu alikua anaponda uwanja wa ndege kua chato...sikia kamanda chukua mawe kawapopoe ffu Kaka upunguze hasira
 
Uliambiwa libya hakuna weusi?
Wewe bia yetu ni hanithi wa mawazo. Shida siyo rangi bali ni vinasaba ndivyo vinavyomtambulisha mtu. Hivyo mweusi wa Libya na mweusi wa Pemba ukiwaangalia tu wanatofautiana.
 
Kama ni hivi bora kutwangana tu ili tuone mwisho wake...
Utawala wa kishenzi sana huu chini ya dikteta Magufuli na CCM yake...

Ombi kweni watanzania wenzangu kwa Msimamizi wa Uchaguzi, wakala, Polisi au yeyote atakaye/ iba kura ashughulikiwe yeye, familia yake na nyumba yake kwani tunaishi nao Mtaani....Unyama Unyama tu !!
Kamanda unachelewa Nini chukua mawe ukimwona ffu mpe la kichwa...ukimwagwa mavi amstedamu atakutetea 😀😀😀
 
Wewe bia yetu ni hanithi wa mawazo. Shida siyo rangi bali ni vinasaba ndivyo vinavyomtambulisha mtu. Hivyo mweusi wa Libya na mweusi wa Pemba ukiwaangalia tu wanatofautiana.
HV Hadi Sasa marekani imeua wavunja sheria wangapi vile???? Washalekwa ze hagu na amstedamu😀😀😀😀
 
Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga na za aibu hivi.
Kama unapigania matumbo ya ufipa kwa hilo utamuona JPM ni hopeless.

Kwa ajili ya TAIFA wengi hatuna shida na hili pito.
 
Hata kama ni fek Id inatakiwa uchague nzuri kuna mtu anajiita bia yetu hv akili atatoa wapi mana kila mtu anamywa
Naombeni tusibishane naye kanyweka vyakutosha hapo alipo hata hajielewi
 
Kwa mara ya kwanza naona vitu vya hovyo na vya aibu lakini vinachekesha sana![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi ni mimi mwenyewe nacheka au kuna mwingine inamchekesha pia?Hivi ni kawaida kukutana na mambo ya hovyo na ya aibu lakini yanachekesha hivi?SijazoeaView attachment 1614283
heche kwisha habari yake uko.. hana kiki yani cdm kila kiki inabuma tuuu daah😂😂😂

Mmeanza na kiki ya kuapishwa. Mkaja kuzuiliwa mawakala,mara kura feki mara mbowe katekwa ,mmekuja na hii tena ety mawakala wamekamatwa wawapi hao?? Aweke evidence mimi sio darasa la saba kama huyo heche wenu
 
Back
Top Bottom