Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Kutoka upigaji wa Nondo na kupeleka damu kwenye ma bucha ili wapate wateja wengi,
Sasa hv wemeanza mtindo mpya, wanatupa noti ya elfu Kumi, ukiokota tu unageuka ng'ombe na moja kwa moja wapelekwa machinjioni...
Cjui wapi twaelekea bhandugu bapendwa...