hii nayo kali

saliel

Member
Apr 11, 2011
84
18
jamaa wawili walikua wanabishana mchana kweupe huku jua kali likiwachoma mabishano yao yalikua kama ifuatavyo:
1.hivi wewe unadhani hili ni jua au ni vua
2.hili ni jua wewe huona jinsi linavyotuchoma
1.hapana bana hii ni mvua huoni mawingu yalivyo angana hata jinsi 2livyo loa.
2.hapana bana hivi wewe hujui kutofautisha kati ya jua na mvua
1.kwani wewe unajua
2.hapana
1.sasa kama hujui unang'anng'ania nini
2.basi kwa sababu wote ha2jui ngoja 2muulize huyu jamaa ili a2saidie,''samahani ndugu 2natatizo 2naomba u2saidie''.
3.bila shaka
2.tulikua 2nabisha hapa yakwa ukiangalia anga kwa sasa kuna jua au mvua.
3. akanyanyua macho yake kwa madaha na kuangalia angani, akaangalia kisha akawaambia (jamaa wakiwa na shauku ya kutaka kujua) ''samahani mimi sijui kwani c mwenyeji wa eneo hili labda mumtafute mwenyeji atweza kuwasaidia'' akaondoka zake.
 
Kitabu cha 'Things fall Apart'cha Chinua Achebe,kuna wazungu walitumwa kijijini kumtafuta chief Ezeulu.Walipofika pale killage,kila aliyewaona aliwakimbia.Mwishowe wakakutana na jamaa mmoja,wakamuuliza;do you know Ezeulu?,naye akauliza;which Ezeulu?,wazungu nao wakamuuliza;How many Ezeulus do you know?,Akawajibu;I don't know any!.Kwa hasira walimtandika makofi na mitama wakasepa zao.Kumbe kwa kabila la Ibo ni mwiko kuwa-direct askari wa kizungu nyumbani kwa chifu,ukifanya hivyo wewe ni msaliti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom