Hii move iko well calculate

Hii move iko well calculate

Hata mimi najiuliza, namba zina maana gani?
Picha ya wachezaji wa chelsea wakishangilia moja ya magoli yao kwenye club world cup
 

Attachments

  • GwK3egvXIAAtmJb.jpeg
    GwK3egvXIAAtmJb.jpeg
    81.8 KB · Views: 17
3+5 = 8

4+6=10

3+7=10


8+10+10=28~2+8=10

Changes zitaanza mwezi 8

Wote watakuwa hawapo kwenye mamlaka by end of October=10

Karma!.
Hizi code hata MAXQDA inaweza ikachanganyikiwa.
 
Hapa kama hujui muziki wa Note lazima utoke kappa kama mm😀😀
 
Kila mtu anakuja na theory yake. Hakika ili kumpoteza mbwa , anapigiwa miluzi mingi, ndio hii sasa.
 
Hahaa...mtoa mada nawacheka tu hapa manavyohangaika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom