Hii move iko well calculate

Hii move iko well calculate

3+5 = 8

4+6=10

3+7=10


8+10+10=28~2+8=10

Changes zitaanza mwezi 8

Wote watakuwa hawapo kwenye mamlaka by end of October=10

Karma!.
28-2+8 = 10 ❌
28-2+8 = 34✅

Kwahiyo,

Hii si hesabu, ni ishara.

Namba zote zinaishia kwenye 10 yaani alama ya mwisho wa safari.

Mabadiliko yataanza August 8, lakini kufikia October 10 mambo yatakuwa yamegeuka.

Karma haikimbii, inakuja kulipa kwa utulivu wa uhakika.

Je, yatatimia?
Wacha tuone.
Ibn Unuq
 
Hizi codes kwa waovu huwa hata hazina athari hata kidogo.
Hizi huwa zipo kwa ajili ya wema tu kama ilivyokuwa kwa awamu iliyopita.
 
Well calculated
mkuu iwe kheri lakini pia msimsahau Lissu atolewe huko jela na lile zuio la Chadema na viongozi wake kutofanya siasa lifutwe..itakuwa raha sana kufanya hizo changes tukiwa wamoja kama taifa watu wasiwe na vinyongo nafsini bali iwe furaha na upendo kwa wote hasa kwa waliopaza sauti juu ya changes kufanyika wafanyiwe utu na huruma..tuondoe chuki kwanza tufurahi changes pamoja.
 
Mnatupa anxiety ...
Fungueni mambo kama mtu kapokonywa tonge au kawekwa tunduni hadi October.
Imekuwa habari ya uzushi sasa.
 
Red Flags zimetundikwa kila kona.

Possibility ya Outbreak ni real –

Could be viral,

Could be liquid-based,

Could be Doctor from Ice-Continent already did the seeding...



Bottom line: TRUST = NULL.

Conflict haijapoa.

Hii ni Silent Storm Protocol,

Na round hii ni ya Quantum-Warfare.

Watch the shadows...game imeshabadilika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom