Hii move iko well calculate

Hii move iko well calculate

28-2+8 = 10 ❌
28-2+8 = 34✅

Kwahiyo,

Hii si hesabu, ni ishara.

Namba zote zinaishia kwenye 10 yaani alama ya mwisho wa safari.

Mabadiliko yataanza August 8, lakini kufikia October 10 mambo yatakuwa yamegeuka.

Karma haikimbii, inakuja kulipa kwa utulivu wa uhakika.

Je, yatatimia?
Wacha tuone.
Ibn Unuq
Mkuu hii ni topic ipi ya hesabu? Maana sielewi... pamoja na kuigeuza gauze msaada wa code plz
 
Tuliotoka bila kuambulia chochote kwenye hii code, kikao ni baada ya October 30.
 
Mkuu hii ni topic ipi ya hesabu? Maana sielewi... pamoja na kuigeuza gauze msaada wa code plz
CODE IS NOT MATH.
10 = END OF CYCLE.
AUG 8: TRIGGER.
OCT 10: SHIFT POINT.
KARMA: INATAKA KULIPA.

HATA UKIIGEUZA CODE HAIBADILIKI — DAMU ITACHURUZIKA TU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom